Teknolojia kufungua fursa za ukuaji wa biashara kwa Vijana
23 October 2026, 16:21

Katika dunia ya sasa teknolojia si anasa tena bali ni nyenzo muhimu katika kukuza biashara , kuongeza wateja na kupanua fursa za kiuchumi kupitia mitandao ya kijamii malipo ya kidigitali na matumizi ya majukwaa mbalimbali ya mtandao ,wafanya biashara wamepata fursa ya kutangaza biashara na huduma zao kwa urahisi zaidi bila hata mtaji mkubwa .
lakini je teknolojia imeleta mabadiliko gani katika uendeshaji wa biashara na kwa namna gani vijana wanaweza kuitumia kujikwamua kiuchumi.?
Ili kupata majibu ya maswali hayo leo tumezungumza na Gladis Mapinduzi ya teknolojia yamesaidia vipi kukuza biashara , mwanadada aliyefanikiwa katika biashara atatueleza uzoefu wake kuhusu mchango wa teknolojia katika kukuza biashara na mabadiliko aliyoyapata baada ya kuitumia pamoja na ushauri wake kwa vijana