Dodoma FM

Yafahamu makundi na mgawanyiko wa  majukumu ya nyuki kwenye mzinga

14 November 2023, 6:40 pm

Inaaminika kuwa nyuki hawawezi kuishi zaidi ya miezi miwili.Picha na Fahari ya Dodoma.

Je Maisha ya Nyuki yapoje katika Mzinga.

Na Yussuph Hassan.

Nyuki wamegawanyika katika  aina kuu mbili pamoja na  mgawanyo wa majukumu katika kila koloni.Leo Afisa nyuki anatueleza makundi na aina ya majukumu ya nyuki kwenye makoloni yao.