Dodoma FM

Asali ina thamani gani kwenye utamaduni wa kabila la wasandawe

29 May 2026, 18:20

kabila la wasandawe lilichukulia asali kama chakula .Picha na Mtandao.

Karibu ufuatane nasi katika mfululizo wa simulizi hii ili uweze kufahamu mengi na fahari nyingi zilizopo mkoani Dodoma.

Na Yussuph Hassan.
Msikilizaji wa fahari ya Dodoma katika mwendelezo wetu wa kufahamu mila na desturi za kabila la wasandawe leo tunaangazi aina ya vyakula hasa asali ambayo kabila hii ilichukulia ni kama chakula .

Na hapa mwenyeji wetu mzee Lesso Leba toka kijijini Farkwa anatueleza asali ilivyo tumika, majina ya vyakula na tamaduni za ulaji wa vyakula hivyo kwa kabila hili.