Dodoma FM

Fahamu chanzo cha migogoro ya ndoa katika jamii

10 October 2024, 7:00 pm

Na Steven Noel .

Migogoro imetajwa kuwa ni chanzo kikuu cha kuvunjika kwa mahusiano ya ndoa  katika jamii kwa sasa.

Bi. Ruth Udamo Afisa Ustawi anayeshughulikia masuala ya usuluhishi wa migogoro ya ndoa Wilaya ya Mpwpwa anabainisha sababu kadhaa zinazopelekea kuwepo kwa migogoro mingi ya ndoa katika jamii.

Bi. Ruth Udamo Afisa Ustawi anayeshughulikia masuala ya usuluhishi wa migogoro ya ndoa Wilaya ya Mpwpwa
Sauti ya Bi. Ruth Udamo

Aidha Mchungaji wa Kanisa la Anglikana Mpwapwa mjini, Canon Habel Chitema  amesema kuwa moja ya sababu ya kuwepo kwa migogoro ya ndoa ni pamoja na kijana kutaka kutimiza mahitaji yake ya kimwili.

Pichani Mchungaji wa Kanisa la Anglikana Mpwapwa mjini, Canon Habel Chitema
Sauti ya Mchungaji Canon Habel Chitema

Kwa upande wa wananchi wanaeleza kwamba uelewa mdogo wa jamii kuhusu dhana nzima ya ndoa ni mdogo  hivyo kunasababisha kuwepo kwa ongezeko kubwa la talaka.

Pichani mwanachi akitoa maoni migogoro ya ndoa
Sauti za wananchi
Pichani mwanachi akitoa maoni migogoro ya ndoa