On air
Play internet radio

Recent posts

17 April 2025, 5:59 pm

Watumishi wa maji watakiwa kushirikisha wananchi tafiti za maji

Miradi hiyo itasaidia kuongeza hali ya uzalishaji maji huku akisema zaidi ya Bilioni 3 zimetumika kutekeleza mradi wa maji Nala. Na Mariam Kasawa.Waziri wa Maji Mhe Juma Aweso amewataka watumishi wa Wizara hiyo kuhakikisha wanaishirikisha jamii wanapofanya tafiti za kina…

16 April 2025, 6:05 pm

Marufuku kuchapisha picha za watoto mitandaoni

Taswira ya habari imepita mtaani kufahamu watachukua tahadhari gani juu ya sheria hiyo. Na Lilian Leopord.Katika zama za sasa ambapo mitandao ya kijamii inachukua nafasi kubwa katika maisha ya kila siku, wazazi wanakabiliwa na changamoto nyingi kuhusu jinsi ya kushughulikia…

16 April 2025, 5:42 pm

Bunge lashauriwa kujadili ripoti za ukaguzi pindi zinapotoka

CAG Kichere amesema kuwa ripoti ya ukaguzi za mwaka 2023/2024 tayari zimewasilishwa bungeni kwa ajili ya kujadiliwa na zinapatikana katika tovuti ya ofisi ya ukaguzi kuruhusu wananchi na wadau kupitiaripoti hiyo. Na Yussuph Hassan.Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa hesabu za…

15 April 2025, 5:41 pm

Wizara ya Maji kutatua kero ya maji Dodoma

Eneo la Nzuguni mpaka sasa lina Visima Tisa vilivyokamilika ambavyo vina uwezo wa kuzalisha maji wastani wa lita milioni Ishirini kwa siku. Na Yussuph Hassan.Waziri wa Maji Mhe Juma Aweso amesema licha ongezeko la watu katika jiji la Dodoma lakini…

15 April 2025, 3:51 pm

Ajinyonga hadi kufa kisa msongo wa mawazo

Asubuhi alikwenda shambani kuandaa mkaa aliporudi nyumbani alipewa uji na mke wake anywe na baadaye alirudi tena shambani ambapo alikutwa amejinyonga . Na Kitana Hamis.Mtu Mmoja aliyefamika kwa Jina la Jumanne Idi Mkazi wa Kata ya Sigino Kijiji cha Imbilili…

15 April 2025, 3:40 pm

Waislamu Mtakuja waomba wadau kuwashika mkono ujenzi wa madrasa

Kwa mawasiliano zaidi unaweza kuwasiliana na ustadhi Yazidu Kirazi kupitia namba hii 068877 5701 Na Kitana Hamis.Waumini wa Dini ya Kislmu waomba Serikali na Wadau wa maendeleo kuwashika Mkono katika Ujezi wa Madrasa shauri moyo iliopo Kijiji cha Mtakuja mta…

14 April 2025, 6:14 pm

Mila, desturi zatajwa kuwa kikwazo kwa wanawake katika uchaguzi

Lengo la kuandaa warsha hiyo ni pamoja na kujadili fursa na chanagamoto za wanawake ili kukuza na kuendeleza ushirika. Na Lilian Leopord.Mila na desturi na majukumu ya kifamilia vimekuwa ni vikwazo kwa wanawake kugombea nafasi za uongozi katika vyama vya…

14 April 2025, 5:54 pm

Mwili wa aliyekuwa mkuu wa chuo cha ualimu Mpwapwa waagwa leo

Aliye kuwa mkuu wa chuo cha ualimu Mpwapwa alifariki dunia kwa ajari ya gari Mkuu wa wilaya ya Mpwapwa ameongoza waombelezaji kuuga mwili wa aliyekuwa Mkuu wa chuo cha ualimu Mpwapwa aliyefariki kwa ajali April 10, 2025 Mji wa serikali…

14 April 2025, 5:36 pm

Polisi Dodoma kushirikiana na wauzaji, mafundi simu kuzuia uhalifu

Aidha Kamanda wa Jeshi la Polisi amewataka wananchi kuacha tabia ya kupokea mali za wizi na iwapo watangundua tukio lolote la uhalifu watoe taarifa katika mamlaka husika. Na Lilian Leopord.Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma, George Katabazi amesema kuwa matukio…

DODOMA FM

Is a local radio station with community content, has grown to be one of the leading radio stations in central region.

SERVICES WE OFFER TO OUR CLIENTS ARE

• Live Interviews , Recorded Interviews , Adverts ,Mentions ,Outside broadcasting , Digital marketing ,.Billboards

 COVERAGE

Dodoma Region in all its 7 districts  It also reaches Tanga-Kilindi,Morogoro-Gairo,kihonda,Manyara-Kiteto,Singida-Manyoni, Iringa -Mtera and Tabora rural.

AREA OF FOCUS

Dodoma FM differentiate itself from other media by preparing programs which directly affect the lives of central region communities. Our main focus are:-

  • Ensure that people of central region have access to Improved nutrition
  • Ensure health and wellbeing for all
  • Quality education
  • Gender equality
  • Access to safe water and sanitation
  • Decent work and economic growth
  • Climate change
  • Violence against children and women
  • hunger