Dodoma FM

Usawa wa kijinsia katika nafasi za uongozi-Makala

7 May 2024, 6:59 pm

Picha ni Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia Wanawake na Makundi Maaalum, Dkt. Dorothy Gwajima akisoma hotuba yake wakati wa ufunguzi wa Kongamano la Wanawake na uongozi.Picha na Michuzi blog.

Serikali kwa kushirikiana na wadau inatambua umuhimu wa kuwa na wanawake viongozi mahili na kuwekeza rasilimali katika usawa wa kijinsia kama chachu ya kutokomeza ukatili wa kijinsia.

Na Yussuph Hassan.
Leo tunaangazia suala la namna gani usawa wa kijinsia unazingatiwa katika kuwania nafasi za uongozi kisiasa tukiungana na mkurugenzi wa tamwa bi rose reuben