Dodoma FM

Makang’wa wahofia uzalishaji mdogo wa uwele

11 April 2023, 4:40 pm

Moja ya shamba la uwele katika kijiji hicho cha Makang’wa. Picha na Mindi Joseph.

Uwele ni zao ambalo hustawi katika mazingiŕa magumu na kame lakini Msimu huu imekuwa tofauti uzalishaji wake unatajwa huenda ukawa hafifu.

Na Mindi Joseph.

Wakulima katika kijiji cha Makag’wa Mkoani Dodoma wamesema Kupungua kwa viwango vya mvua msimu huu wasiwasi umetanda juu ya uzalishaji wa zao la uwele.

Taswira ya habari imezungumza na wakulima hao na hapa wanasema.

Sauti ya Wakazi wa Makang’wa
Wakazi wa Makang’wa wakizungumza na Dodoma Tv. Picha na Mindi Joseph.

Diwani wa kata ya makag’wa Solomoni Samwel anasema Uwele ni zao ambalo husaidia kupunguza makali ya gharama za maisha na huvumilia ukame.

Sauti ya Diwani wa kata ya Makang’wa.

Uwele ni zao linalolimwa zaidi na wakulima mkoani Dodoma kutokana na ardhi yake kuwa kame.