Dodoma FM

Program ya AFDP yategemewa kuwafikia wakulima zaidi ya laki mbili nchini

16 May 2023, 8:16 pm

Mabwawa ya kufugia samaki. picha na Mindi Joseph.

Watazania wamehimizwa kuendelea kujikita katika katika shughuli za kilimo kwa uwekezaji wa uhakika .

Na Mindi Joseph.

Imeelezwa  kuwa, Programu ya kuendeleza Kilimo na Uvuvi AFDP unataegemea kufikia kaya zaidi ya Laki mbili Nchini.

Hayo yamebainishwa na mtaalam wa masuala ya Lishe na jinsia Bi. Irene Mmbando amesema kuwa Mradi huo unalenga kufika kaya laki mbili na sitini ambazo zitahusika katika kilimo, uvuvi na ufugaji wa viumbemaji.

Sauti ya mtaalam wa masuala ya Lishe.
Mtaalam wa masuala ya Lishe na jinsia Bi. Irene Mmbando .Picha na Mindi Joseph.

Mratibu wa Programu hiyo kutoka Ofisi ya Waziri Mkuu Sera Bunge na Uratibu Bw. Salim Mwinjaka anasema mradi huo  unalenga kuendeleza Kilimo na uvuvi.

Sauti ya Mratibu wa Programu.