Dodoma FM

Ushirikiano wa wenza katika kumiliki mali

19 November 2023, 12:22 pm

Picha ni Mwanasheria kutoka katika Shirika hilo linalojikita zaidi katika kutoa elimu ya kisheria na kusaidia katika upatikanaji haki katika maeneo mbalimbali, Zakia Msangi .Picha na Wildaf.

Na Leonard Mwacha.

Hii leo tunaangazia umuhimu wa wenza kushirikiana katika umiliki wa mali.

Mwenzetu Leonard Mwacha amefanya mazungumzo na mwanasheria na ameanza kumuuliza hali ikoje kwa wanawake kushirikishwa katika umiliki wa mali wa pamoja na wenza wao.