Dodoma FM

Watu wa karibu wana mchango gani kwa kijana kuwania uongozi

3 April 2024, 5:16 pm

Je watu wa karibu wanamsaidiaje kijana kuwania nafasi ya uongozi. Picha na Michuzi Blog.

Leo tunaangazia Watu wa karibu wanamsaidiaje kijana kuwania nafasi za uongozi wa serikali za mitaa ambapo Selemani kodima anatuletea taarifa ifuatayo.

Na Seleman Kodima.
Ikiwa Mwaka huu Tanzania tunafanya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa ambao unahusisha kuchagua viongozi kwenye nafasi za Mwenyekiti wa Kijiji, Mwenyekiti wa Kitongoji, Wajumbe wa Halmashauri ya Kijiji (Mchanganyiko) na Wajumbe wa Halmashauri ya Kijiji (Kundi la Wanawake).