Dodoma FM

Akina mama wanaonyonyesha watoto watakiwa kuheshimu muda

8 August 2024, 4:22 pm

Picha ni mama akinyonyesha mtoto wake. Picha na UN news.

Afisa Lishe wa Halmashauri ya jiji la Dodoma Bi. Seminieva Juma akizungumzia juu umuhimu wa kunyonyesha.

Na Seleman Kodima.
Ikiwa jana ni kilele cha maadhimisho ya wiki ya unyonyeshaji duniani yalioanza tangu Agosti mosi, akina mama wanaonyonyesha watoto wametakiwa kuheshimu muda wa kunyonyesha.

Mwandishi wetu Selemani Juma Kodima leo ameendeleza mahojiano na na Afisa Lishe wa Halmashauri ya jiji la Dodoma Bi Seminieva Juma akizungumzia juu umuhimu wa kunyonyesha.