Dodoma FM

Alizeti yawanufaisha wakulima Dabalo

23 February 2023, 3:19 pm

Shamba la alizeti atika kijiji cha Dabalo. Picha na Fred Cheti.

Mkoa wa Dodoma ni miongoni mwa mikoa inayotegemewa zaidi katika zalishaji wa mafuta ya alizeti.

Na FRED CHETI                 

Upatikanaji  mzuri wa mbegu za alizeti katika kijiji cha Dabalo wilayani Chamwino umetajwa kuwa chachu kwa wakulima wengi ndani ya kijiji hicho kulima kwa wingi zao hilo.

Wakizungumza na Dodoma TV baadhi ya wakulima katika kijiji hicho wamesema kuwa upatikani wa pembejeo hiyo imefanya wakulima wengi katika kijiji hicho kuwa na mwamko wa kulima alizeti.

Sauti za wakulima wa kijiji cha Dabalo.

Diwani wa kata ya Dabalo Bwana Omary Kaguna anaelezea namna wakulima katika kata hiyo wanapata mbegu ya zao la alizeti.

Sauti ya Diwani Bw. Omary Kaguna.