Dodoma FM

Upungufu wa walimu Chididimo wadidimiza elimu ya msingi

17 January 2024, 8:13 am

Picha ni baadhi ya wazazi wakiwa katika mkutano wa wanakijiji na waandhi wa habari. Picha na Thadei Tesha.

Ninini Mchakato wa serikali juu ya changamoto ya upungufu wa walimu katika shule hii.

Na Thadei Tesha.
Upungufu wa walimu katika shule ya msingi Chididimo iliyopo jijini Dodoma Imetajwa kama moja ya kikwazo kinacho sababisha wananfunzi kushindwa kusoma ipasavyo.

Hini shule ya msingi Chididimo ambapo ina jumla ya wanafunzi zaidi ya 600 lakini idadi ya walimu wanaofundisha katika shule hii ni watatu pekee.

wazazi wenye wanafunzi katika shule ya Msingi Chididimo wanasema kuwa hali hii ni kikwazo kwa wanafunzi katika kufanikisha azma ya kujifunza.

Sauti za Wananchi.
Picha ni mkazi wa Chididimo akiongea na Dodoma Tv Juu ya changamoto hiyo ya walimu. Picha na Thadei Tesha.

Kwa upande wake mwalimu mkuu wa shule hiyo anaeleza hali ilivyo katika suala la ujifunzaji shuleni hapo pamoja na hatua za kukabiliana na changamoto hiyo.

Sauti ya mwalimu mkuu wa shule hiyo.

Lakini je majibu ya serikali juu ya suala hili ni yapi?mwalimu prisca Mayala ni Afisa elimu msingi jiji la Dodoma hapa anaeleza.

Sauti ya Afisa Elimu Msingi.