Dodoma FM

Chakula bora ni kinga dhidi ya Ukoma

20 April 2023, 3:28 pm

Jinsi ugonjwa wa ukoma unavyokuwa . Picha na Yussup Hassan.

Mtaalamu wa Afya anasisitiza kama mtu atazingatia lishe bora ataepuka maambukizi ya ugonjwa huu wa ukoma.

Na Yussuph Hassan.

Ulaji wa chakula bora ni moja kati ya tiba ya kuepukana ugonjwa wa ukoma.