Dodoma FM

Zifahamu athari za ugonjwa wa P.I.D

7 April 2023, 5:23 pm

Picha ikionesha mchoro wa umbile la via vya uzazi vya mwanamke.Picha na Yussuph Hassan.

Je mtu asipopata tiba au kutozingatia tiba aliyopewa atapata athari gani.

Na Yussuph Hassan.

Tukiendelea na mfululuzo wa kuzungumzia juu ya Maambukizi ya via vya uzazi vya mwanamke P.I.D, baada ya kufahamu chanzo matibabu yake na leo tunazungumzia juu athari za ugonjwa huo kwa mtu asipopata tiba au kutozingatia tiba aliyopewa.