Dodoma FM

Matumizi ya dawa za kulevya bado ni tatizo kwa baadhi ya maeneo Nchini

11 January 2023, 2:35 pm

Na; Mariam Matundu.

Taarifa ya Hali ya Dawa za Kulevya kwa mwaka 2021 iliyotolewa Juni 2022 na Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA), imesema ingawa hakuna takwimu halisi ya watumiaji wa dawa za kulevya nchini waraibu wapatao 905,902 walijitokeza kupata tiba ya uraibu wa dawa mbalimbali za kulevya nchini katika mwaka 2021.

Tatizo la dawa za kulevya nchini, limeonekana kuwa kubwa katika maeneo ya ukanda wa Pwani na miji mikubwa kama vile Dar es salaam, Arusha, Mwanza, Tanga, Pwani, Morogoro, Dodoma na Mbeya.

MWANADISHI WETU MARIAM MATUNDU AMETUANDALIA KISA CHA BINTI ALIYEFANIKIWA KUACHANA NA MATUMIZI YA DAWA ZA KULEVYA

CLIP ……………………