Dodoma FM

Serikali yaombwa kuwawezesha wakulima elimu na pembejeo za kilimo

12 September 2023, 11:42 am

Miongoni mwa sababu zinazopelekea wakulima kushindwa kulima kilimo cha umwagiliaji ni pamoja na ukosefu wa elimu na mtaji. Picha na Thadei Tesha

Wakulima katika maeneo mbalimbali wamekuwa wakisistiza kwa jamii kuwapatia mikopo ya kilimo ili waweze kunufaika na kilimo chenye tija.

Na Khadija.

Imeelezwa kuwa ili kusaidia wakulima waweze kulima kilimo chenye tija serikali inao wajibu wa kuwawezesha wakulima hao katika suala la elimu na pembejeo za kilimo.

Dodoma tv imemtembelea bw Ringo Iringo ambaye ni mwenyekiti chama cha wazalishaji wa alizeti Tanzania(TASUPA) pia ni mtaalamu wa masuala ya kilimo ambapo hapa anaelezea miongoni mwa sababu inayopelekea wakulima wengi kushindwa kulima kilimo chenye tija.

Sauti ya Bw. Ringo Eringo.

Aidha anatumia fursa hii kutoa ushauri kwa serikali juu ya nini kifanyike ili kuwasaidia wakulima kuweza kulima kilimo chenye tija.

Sauti ya Ringo Eringo.
Bw Ringo Eringo ni mwenyekiti wa chama cha wazalishaji wa alizeti Tanzania akizungumza na Dodoma Tv. Picha na Thadei Tesha.

Dodoma tv imefanya mahojiano na baadhi ya wananchi wa mtaa wa mipango Jijini Dodoma juu ya mtazamo wao nini kifanyike ili kuwasaidia wakulima kulima kilimo chenye tija.

Sauti za wananchi.