Dodoma FM

Ufahamu ugonjwa wa surua na maambukizi yake

24 April 2023, 1:49 pm

Mratibu wa Huduma za Chanjo Halmashauri ya Jiji la Dodoma Victor Kweka akizungumzia kuhusu ugonjwa wa Surua . Picha na Yussuph Hassan.

Ugonjwa huu husababishwa na virusi vinavyosambazwa kwa matone madogo hewani baada ya mtu mwenye surua kukohoa au kupiga chafya.

Na Yussuph Hassan.

Surua ni ugonjwa unaosababishwa na virusi. Ugonjwa wa surua unaweza kumpata mtu wa rika lolote.

Mratibu wa Huduma za Chanjo Halmashauri ya Jiji la Dodoma Victor Kweka leo anaanza kuzungumzia utangulizi wake.