Dodoma FM

Ishara zipi ambazo kaka kuona hutabiri

19 April 2023, 2:43 pm

Kakakuona akiwa amewekewa vitu mbalimbali kwaajili ya utabiri . Picha na Yussuph Hassan.

Je chifu Tupa atamuwekea nini Kaka kuona ili aweze kutabiri ishara zinazo kuja.

Na Yussuph Hassani.

Hii ni imani ambayo ipo kwenye jamii na tulipo fika katika kijiji cha Makang’wa tulikuwa watu wa kijiji hicho wana hamu kubwa ya kutaka kuona Kakakuona atatabiri nini .

Hapa chifu wa eneo hilo anae julikana kama chifu Tupa anaelezea utabiri wa mnyama huyu.

Chifu Tupa akieleza utabiri wa mnyama huyo. Picha na Yussuph Hassan