Dodoma FM

Wajawazito waonywa kuepuka matumizi ya Pombe

20 September 2023, 2:55 pm

Picha ni Hospitali ya Mirembe kituo cha Itega Jijini Dodoma.Picha na Katende Kandolo.

Ili kupunguza vitendo vya matumizi ya pombe na dawa za kulevya katika jamii hususani kwa wajawazito wataalamu wa afya  wanaendelea kuhamasisha jamii kuachana na suala hilo kwani lina athari kubwa kiafya.

Na Katende Kandolo.

Akina mama wajawazito wametakwa kuachana na matumizi ya pombe katika kipindi cha ujauzito kwani Inaweza kuwaletea athari za kiafya pamoja na kumdhulu mtoto aliyeko tumboni.

Nimekutana na  Dokta Zahadi Shemahonge ambaye yeye ni daktari  wa magonjwa ya akili kutoka katika Hospitali ya Mirembe kituo cha Itega.

Kwanza nilianza kwa kumuuliza je ni athari gani ambazo  anaweza kupata mama mjamzito pale anapotumia vilevi na dawa za kulevya kipindi cha ujauzito?

Sauti ya Dkt. Dokta Zahadi Shemahonge.
Baadhi ya wakazi wa jiji la Dodoma nao walizungumzia madhala ya matumizi ya Pombe kwa mama mjamzito.Picha na Katende Kandolo.

Pamoja na mambo mengine hapa anatoa ushauri kwa akina mama,pamoja na wajawazito juu ya mambo ya kuepuka katika kipindi cha ujauzito.

Sauti ya Dkt. Dokta Zahadi Shemahonge.

Dodoma Tv imefanya mahojinao na baadhi wananchi jijini Dodoma juu ya mtazamo wao kuhusiana na suala la matumizi ya dawa za kulevya pamoja na pombe.

Sauti za baadhi ya wananchi.