Dodoma FM

Yafahamu maajabu na ishara za mnyama adimu Kakakuona

17 April 2023, 2:20 pm

Mnyama Kakakuona akiwa katika kijiji cha Makang’wa wilayani Chamwino. Picha na Yussuph Hassan.

Mnyama huyu anapo onekana katikajamii nini huwa kinafanyika.

Na Yussuph Hassan.

Jamii nyingi huamini ishara za mnyama huyo kwani anapo onekana wanajamii huwa na hamu ya kufamamu ni nini ambacho atatabiri katika jamii hiyo hivyo hufanya mila ikiwemo kupiga ngoma na kumuwekea vitu mbalimbali .

Baadhi ya wazee wa kijiji hicho wakiwa wamekusanyika pamoja kuzungumza na Dodoma tv kuhusu mnyama huyo . Picha na Yussuph Hassan.