Dodoma FM

Muendelezo wa Siku 16 za kupinga ukatili

28 November 2023, 6:11 pm

Ni njia gani ya haraka unaweza kuitumia kuripoti vitendo vya ukatili. Picha na google.

Na Mariam Matundu.

Tukiwa bado katika siku 16 za kupinga ukatili wa kijinsia leo tunakuuliza ni njia gani ya haraka unaweza kuitumia kuripoti vitendo vya ukatili ?

Leonard mwacha amezungumza na mkuu wa dawati la jinsia na watoto mkoa wa Dodoma Theresia Mdendemi na ameanza kuuliza ni njia gani za haraka za kuripoti matukio ya ukatili.