Dodoma FM

Wasanii watakiwa kutumia nyimbo kuelimisha jamii

30 October 2023, 11:32 am

Hii ni kampeni maalum ya kuhamasisha jamii kuwa na umoja kupitia njia ya uimbaji.Picha na Thadei Tesha.

Uimbaji ni moja ya sanaa pendwa ambapo wapo baadhi ya watu ambao wameweza kujiajiri kupitia sanaa hiyo pamoja na kutoa eleimu kwa jamii kukemea vitendo mbalimbali na kuburudisha.

Na Thadei Tesha.

Kufuatia kuhitimishwa kwa siku ya sanaa duniani wasanii wa nyimbo mbalimbali wametakiwa kutumia sanaa ya uimbaji katika kutoa elimu na kukemea vitendo visivyofaa.

Dodoma Tv imefanya mahojinao na mwenyekiti wa kwaya ya mtakatifu kizito makuburi ambao wapo katika kampeni maalum ya kuhamasisha jamii kuwa na umoja kupitia njia ya uimbaji.

Hapa anaanza kwa kuelezea namna njia ya uimbaji inavyosaidia kufikisha elimu kwa jamii.

Sauti ya mwenyekiti wa kwaya ya mtakatifu kizito makuburi
kampeni maalum ya kuhamasisha jamii kuwa na umoja kupitia njia ya uimbaji.Picha na Thadei Tesha.

Dodoma Tv imekutana na baadhi ya wananchi pamoja na waimbaji wa kwaya hiyo ambapo hapa wanatumia fursa hii kuwataka waimbaji kutumia fursa hiyo katika kukemea maovu na kuelimisha jamii.

Sauti za wananchi na waimbaji