Dodoma FM

Ushirikishwaji wa wenza katika kumiliki mali

16 April 2024, 9:45 am

Baadhi ya watu wamekuwa wakibadilika kutokana na kusikiliza kipindi cha Sanuka . Picha UN news.

Tumemtembelea katika sehemu yake ya biashara katika mtaa wa mkonze Jijini Dodoma na hapa anatueleza namna kipindi cha Sanuka kilivyo changia kubadirisha mfumo wake wa maisha yake.

Na Mwandishi wetu.

Leo tunaangazia ushirikishwaji wa wenza katika kumiliki mali ambapo leo hii tunae mwanaume wa mfano ambae ameona umuhimu wa kumshirikisha mke wake katika kumiliki mali baada ya kusikiliza kipindi cha Sanuka kinachorushwa na Dodoma Fm.