Dodoma FM

Ufahamu uhuru wa matumizi ya kipato

25 October 2023, 2:02 pm

Wanawake Mkoani Manyara, wameeleza kuwa mila kandamizi za eneo hilo zimechangia kusababisha wanawake kuwa na changamoto ya kutopata haki ya fursa mbalimbali ikiwemo kutomiliki ardhi.Picha na Daima Media.

Baadhi ya jamii bado zinaamini mila na desturi kamdamizi kuwa mwanaume ni kilakitu katika familia .

Na Mariam Matundu.

Je uhuru wa matumizi ya kipato ninini?

Je nini kinapelekea baadhi ya wanaume kuwanyima wake au wenza wao uhuru wa kutumia vipato vyao.