Dodoma FM

Zifahamu mila na desturi za jando la kabila la wagogo

22 May 2026, 18:21

Picha ni vijana wa kabila la wagogo wakiwa jando.Picha na mtandao

Wanawake walifanya shughuli za kupika na kupeleka chakula kwa kufuata mila na desturi.

Na Yussuph Hassan.

Leo tunazungumzia mila na desturi za wagogo katika Jando ambapo inaelezwa kuwa ,wanawake walikuwa hawaruhusiwi kuingia katika jando kwani eneo la jando lilitengwa mbali kidogo na nyumbani na huku waliishi vijana walio pelekwa jando , wanaume na wazee.