Radio Tadio

Jamii

29 May 2023, 10:14 AM

DC Chaurembo: Aliyejirekodi na kusambaza video chafu achukuliwe hatua

Nanyumbu Mkuu wa wilaya ya Nanyumbu Mariam Chaurembo ameliagiza Jeshi la Polisi wilaya ya Nanyumbu kumkamata na kumchukulia hatua kali za kisheria mwanamke aliyetambulika kwa jina la Zakia Yassini mzaliwa wa Maswera wilayani humo, umri wake ukikadriwa kuwa kati ya…

23 May 2023, 3:52 pm

Miaka 65 ya ndoa: Wafariki na kuzikwa siku moja

Tukio hilo la aina yake limewatafakarisha watu wengi maeneo hayo huku wengine wakidai ni msiba wa aina yake ambao umevuta hisia za watu wengi na kuweka historia kwa waombolezaji waliofika msibani hapo. Na. Bernad Magawa . Katika hali ambayo si…

22 May 2023, 4:41 pm

DC Kongwa: Ni haki ya wananchi kujua mapato na matumizi

Wananchi wametakiwa kuhoji jambo lolote kwa viongozi wao ambalo hawalielewi ili waweze kupatiwa ufumbuzi. Na Bernadetha Mwakilabi. Mkurugenzi mtendaji wa halmashauri ya wilaya Kongwa Dkt. Omary Nkullo amewataka wananchi, wenyeviti wa vijiji na vitongoji kuhakikisha wanahudhuria mikutano ya baraza la…

17 May 2023, 3:03 pm

NIDA yatoa vitambulisho 62,258 Kongwa

Changamoto wanazopitia wananchi katika vitambulisho vya Taifa ni pamoja na kushindwa kutimiza vigezo na masharti ya kujaza fomu za kuomba vitambulisho hivyo hali inayopelekea ofisi kushindwa kufanya kazi yake kwa ufanisi. Na Bernadetha Mwakilabi. Mamlaka ya vitambulisho vya Taifa (NIDA)…

11 May 2023, 9:48 am

Wananchi wa Kitelewasi hawana imani na uongozi wa Kijiji

Wananchi wa kijiji cha kitelewasi Kilichopo Kata ya Ilole wilaya ya Kilolo Mkoani Iringa wamesema hawana imaniĀ  na uongozi wa serikali ya kijiji hicho kutokana na ubadhilifu wa fedha. Wakizungumza katika mtukutano wa hadhara wanakijiji hao  wameiomba serikali kuwatafutia ufumbuzi…

6 May 2023, 6:47 am

CCM Katavi Kukemea Mmomonyoko wa Maadili

NSIMBO Chama cha Mapinduzi CCM Mkoa wa Katavi kupitia Kwa Mjumbe wa Halmashauri kuu Taifa Girbert Samnpa ametoa Wito kwa Jumuiya ya wa wazazi ya Chama hicho kuungana na serikali katika kukemea Mmomonyoko wa Maadili katika Jamii. Ametoa wito huo…

3 May 2023, 5:11 pm

Wananchi kibaigwa wafunguka kero wanazo pata katika huduma za jamii

Shilingi  milioni 150 imetengwa kwaajili ya kuongeza vifaa tiba ambapo kabla ya kufika mwezi wa Saba mwaka huu kituo cha afya kibaigwa kitaanza kutoa huduma za upasuaji. NA, Bernadetha Mwakilabi. Wakazi wa Mamlaka ya Mji Mdogo wa Kibaigwa ulioko wilayani…

3 May 2023, 4:39 pm

Vijana waonywa kuporomoka kwa Maadili

Wamewashauri wazazi kukagua matumizi ya vipindi vya Televisheni majumbani mwao ili kuwaepusha watoto na vipindi viovu vinavyoweza kuharibu maadili yao. Na Bernad Magawa. Katika kuhakikisha kuwa Taifa linaendelea kuwa na vijana wenye maadili, baadhi ya wazee Wilayani Bahi wameiomba serikali…