17 March 2026, 5:20 pm

Anyowise ahukumiwa kifungo cha miaka 7 gerezani

Kutokana na wimbi la wizi katika maeneo mbali mbali jamii imetakiwa kuacha vitendo hivyo na badala yake wajike katika shughuli halali za kujipatia kipato na mwandishi wetu. Mahakama ya Wilaya ya Makete Mkoani Njombe imemuhukumu Anyowise Gehezi sanga maarufu kwa…

Offline
Play internet radio

Recent posts

24 June 2026, 9:40 am

Dc Kissa awanyoonyeshea mkono wananchi wa makete

Mkuu wa wilaya ya makete mh kissa gwakisa kasongo kutokana na halmashauri kupata hati safi mkuu wa wilaya ya makete ametoa pongezi kwa mkurugenzi pamoja na wananchi kwa kazi kubwa wanayofanya ya kujiingizia kipato huku akiongeza kwa kusema kuwa haimpishida…

24 June 2026, 9:30 am

Halmashauri ya makete yapongezwa kupata hati safi

katibu tawala mkoa wanjombe Dkt Stephen Nindi umoja ni nguvu utengano ni udhaifu ni kauli iliyojidhihilisha kwenye baraza maalumu la madiwani  la kupokea na kujadili hoja za mdhibiti na maguzi mkuu wa hesabu za serikali (CAG) jambo lililopelekea halmashauri kupata…

22 June 2026, 7:34 pm

Wazazi acheni kuwapa simu watoto wenu

Afisa tawala wilaya ya makete ndg  Onespholia Ngogo kutokana na wimbi la watoto kutumia simu wito umetolewa kwa wazazi na jamii kwa ujumla kuacha tabia hiyo ya kuwazoesha watoto simu ili kuwa na kizazi kilicho bora pamoja na kuacha kuwalaza…

22 June 2026, 9:57 am

DC Makete ahimiza waumini kudumisha amani

Wito umeendea kutolewa kwa vijana na wananchi kwa ujumla kuendelea kuitunza amani na kudumisha upendo na mshikamano ili kuwa na taifa imara na lilobora. na mwandishi wetu. Mkuu wa Wilaya ya Makete kissa gwakisa kasongwa jana Juni 21, 2026 ameshiriki…

17 June 2026, 6:31 am

Watakiwa kuwalinda watoto dhidi ya vitendo vya ukatili

Wito umeendelea kutolewa kwenye maadhimisho ya siku ya mtoto wa afrika kuendelea kulindwa kwa watoto dhidi ya vitendo viovu ili kuwa na taifa bora la hapo baadaye. Na Mwandishi Wetu Wakazi wa Wilaya ya Makete,  mkoani Njombe, leo Juni 16,…

12 June 2026, 6:20 pm

DC Kasongwa atembelea na kuwaona wagonjwa hospitali ya wilaya Makete

Watumishi wa hospitali ya wilaya ya Makete mkoani Njombe wamepongezwa kwa utoaji wa huduma bora kwa wananchi wanapofika kwa ajili ya kupata huduma na kuwasisitiza kuendelea kutimiza majukumu yao kikamilifu. Na Omben Mgongolwa Mkuu wa Wilaya ya Makete, Mhe. Kissa…

11 June 2026, 9:56 am

Lulu Samson atoa mkono wa pole kwa makundi maalumu hospitali ya Makete

Lulu Samson pamoja na mganga Mfawidhi hospitali ya wilaya ya Makete Dkt Amanda Mollel Jamii imesisitizwa kuendelea kuyakumbuka makundi maalumu katika maeneo yao ili kuwafariji na kuwapa pole ili waweze kupata faraja kutoka kwa watu wengine wanaowatembelea Na mwandishi wetu.…

11 June 2026, 9:41 am

Wananchi wa wafurahia ujio wa sekondari

Wananchi wakitoa hoja zao kwenye mkutano wa kijiji mbele ya mkurugenzi kutokana na wanafunzi kutembea umbali mrefu kutafuta elimu wananchi wameishukuru serikali kwa kutoa pesa itakayo saidia ujenzi mpaya wa shule ya sekondari katika kata ya Mlondwe, Makete na mwandishi…

Mission and Vision

Kitulo Fm radio ni kituo cha kijamii kinachozalisha maudhui yenye hadhi ya kujenga jamii ya kitulo