Mwangalizi wa Uchaguzi ndani ya Chama cha Mapinduzi (CCM) mwenye Koti Jeusi Ndg. Award Mpandila akishuhudia mchakato wa maoni ndani ya chama Kata ya Kinyika
Kitulo FM

Uchaguzi udiwani ndani ya CCM Kinyika wafanyika

June 23, 2023, 8:05 am

MATOKEO YA UCHAGUZI WA KURA ZA MAONI CCM KATA YA KINYIKA

1.Faida Ngongo kura – 57

2.Shamte Mbogolela kura – 28

3. Lufunyo Nkinda kura – 1

4. Mwaliki Elia Mwinuka Kura – 0

Ikumbukwe kuwa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imetangaza uchaguzi mdogo wa Udiwani katika Kata hiyo ya Kinyika utakaofanyika tarehee 13 Julai 2023