Play internet radio

Recent posts

May 3, 2024, 8:46 am

Zaidi ya bilioni 7 kutekeleza shughuli za maendeleo Makete

katika utekelzaji wa ilani ya chama cha mapinduzi CCM zaidi ya bilioni saba zimetolewa na Serikali katika kata ya Iwawa ili kutekelez miradi ya maendeleo katika nyanja mbalimbali ikiwa ni pamoja na Afya,barabda,umeme pamoja na Elimu. Na Aldo Sanga Zaidi…

May 3, 2024, 7:30 am

Wazabuni Makete watakiwa kusambaza vifaa kwa wakati

Kufatia kusuasua ujenzi wa baadhi ya miradi ya maedeleo inayoendelea katika wilaya ya Makete, DC Samweli Sweda amewataka wazabuni kupeleka vifaa kwa wakati ili kuendana na kasi ya ukamilishaji wa miradi hiyo kwa wakati ili kufikia malango yaliyotarajiwa Na Shafii…

May 3, 2024, 7:08 am

Sekondari Mang’oto yatakiwa kutunza mazingira

DC Sweda atembelea miradi ya maendeleo kukagua maendeleo ya miradi hiyo huku akiwataka wanaosimamia miradi hiyo kuhahikisha wanaitunza ili kuleta tija na ufanisi . Na Shafi. Mkuu wa Wilaya ya Makete mhe. Juma Sweda amemtaka mwalimu mkuu wa shule ya…

May 3, 2024, 6:53 am

Bodaboda Makete washauriwa kuripoti matukio ya uhalifu

Kutokana na kundi kubwa la waendesha vyombo vya moto hususani pikipiki maarufu kama bodaboda kutumia vyombo hivyo bila leseni mkuu wa wilaya ya Makete mh.Samweli Sweda ametoa rai kwa vijana hao kumiliki leseni na kutoa taarifa za matukio ya uharifu.…

April 22, 2024, 12:21 pm

Wafugaji wa nyuki washauriwa kutumia wataalam

Kutokana na wafugaji wengi wa nyuki kufuga kienyeji na kutopata faida ofisi ya misitu Halmashauri ya wilaya ya Makete wameshauri wafugaji kutumia ushauri wa wataalamu ili wafuge kwa tija. Na Bensoni Kyando. Wananchi Wilayani Makete Mkoani Njombe wanaojishuhulisha na shughuli…

April 18, 2024, 11:10 pm

ukaguzi wa miradi umefanyika na kamati ya fedha Makete

katika kutekeleza miradi ya maendeleo Makete katika sekta mbalimbali kamati ya Fedha utawala na mipango imefanya ukaguzi wa miradi kwalengo la kusukuma kasi ya miradi ikamilike kwa wakati Na Aldo Sanga. Kamati ya Fedha, Utawala na Mipango, leo April i,18,…

April 17, 2024, 6:24 am

Maafisa ugani watakiwa kusimamia zao la ngano Makete

katika kusimamia na kutekeleza kwa vitendo mpango wa Serikali wa kufungua fulsa za kiuchumi katika Wilaya ya Makete maafisa ugani wametakiwa kusimamia kilimo cha zao la ngano kwalengo la kuleta tija kiuchumi kwa wananchi wa Wilaya ya Makete. Na Aldo…

April 16, 2024, 9:46 am

Kipagalo watakiwa kujitoa kwa moyo utekelezaji wa miradi

Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Makete, Mhe. Christopher Fungo, amewataka wakazi wa kata ya Kipagalo kujitoa kwa moyo katika ujenzi wa kituo cha Afya cha kata hiyo. Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Makete, Mhe. Christopher Y. Fungo, leo…

March 26, 2024, 5:17 pm

Tatizo la maji Makete latafutiwa muarobahini.

ikiwa serkali ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania imejikita katika kumtua mama ndoo kichwani wilaya ya Makete imefika zaidi ya 91%katika utekelezaji wa mkakati huo , Mkuu wa Wilaya ya Makete ambaye pia ni mgeni rasmi wa kikao Cha wadau…

Mission and Vision

Kitulo Fm radio ni kituo cha kijamii kinachozalisha maudhui yenye hadhi ya kujenga jamii ya kitulo