Kitulo FM

Recent posts

10 June 2026, 6:44 pm

GNM cargo yakabadhi madawati 40 kwa wanafunzi wa Ilumaki sekondari

ili kuendelea kuhakikisha wanafunzi wanasoma katika mazingira mazuri na kuweza kufikia ndoto zao, wazawa wa makete waishio nje ya makete wamekuwa wakihakikisha mazingira mazuri katika shule zote makete yanakuwa mazuri kwa kuendelea kutoa madawati kujenga mabweni ili wanafunzi wafurahie masomo…

5 June 2026, 6:15 pm

Asilimia 14 ya watu wazima Makete hawajui kusoma na kuandika

Kutokana na baadhi ya watu wazima kutokujua kusoma na kuandika halmashauri ya wilaya ya Makete, Idara ya Elimu ya Watu Wazima wameweka mikakati madhubuti ya kuhakikisha wakazi wote wa Makete wanajua kusoma na kuandika. Na Mwandishi Wetu Imeelezwa kuwa asilimia…

4 June 2026, 9:41 am

Wazazi wahimizwa kutoa michango shuleni

Kutokana na kukubaliana kwenye vikao shuleni, wazazi wamewaasa wenzao wasiotoa michango pamoja na kuwatumia watoto wao kwenye utafutaji kuacha tabia hiyo. Na Mwandishi Wetu Wazazi pamoja na viongozi wa kijiji cha ivalalila kata ya iwawa wilaya ya makete  wamesikitishwa na…

11 April 2026, 1:38 pm

Makete waungana kuboresha miundombinu ya barabara

Wakati mvua zikiendelea kunyesha katika maeneo mbali mbali na miundombinu ya barabara kuathirika kwa kiasi kikubwa wananchi kwa kushirikiana na viongozi wa serikali za mitaa wamekuwa mstari wa mbele katika kuhakikisha changmoto hiyo inatatuliwa. Na, Rose Njinile Kutokana na mvua…

17 March 2026, 5:20 pm

Anyowise ahukumiwa kifungo cha miaka 7 gerezani

Kutokana na wimbi la wizi katika maeneo mbali mbali jamii imetakiwa kuacha vitendo hivyo na badala yake wajike katika shughuli halali za kujipatia kipato na mwandishi wetu. Mahakama ya Wilaya ya Makete Mkoani Njombe imemuhukumu Anyowise Gehezi sanga maarufu kwa…

3 May 2024, 8:46 am

Zaidi ya bilioni 7 kutekeleza shughuli za maendeleo Makete

katika utekelzaji wa ilani ya chama cha mapinduzi CCM zaidi ya bilioni saba zimetolewa na Serikali katika kata ya Iwawa ili kutekelez miradi ya maendeleo katika nyanja mbalimbali ikiwa ni pamoja na Afya,barabda,umeme pamoja na Elimu. Na Aldo Sanga Zaidi…

3 May 2024, 7:30 am

Wazabuni Makete watakiwa kusambaza vifaa kwa wakati

Kufatia kusuasua ujenzi wa baadhi ya miradi ya maedeleo inayoendelea katika wilaya ya Makete, DC Samweli Sweda amewataka wazabuni kupeleka vifaa kwa wakati ili kuendana na kasi ya ukamilishaji wa miradi hiyo kwa wakati ili kufikia malango yaliyotarajiwa Na Shafii…

3 May 2024, 7:08 am

Sekondari Mang’oto yatakiwa kutunza mazingira

DC Sweda atembelea miradi ya maendeleo kukagua maendeleo ya miradi hiyo huku akiwataka wanaosimamia miradi hiyo kuhahikisha wanaitunza ili kuleta tija na ufanisi . Na Shafi. Mkuu wa Wilaya ya Makete mhe. Juma Sweda amemtaka mwalimu mkuu wa shule ya…

3 May 2024, 6:53 am

Bodaboda Makete washauriwa kuripoti matukio ya uhalifu

Kutokana na kundi kubwa la waendesha vyombo vya moto hususani pikipiki maarufu kama bodaboda kutumia vyombo hivyo bila leseni mkuu wa wilaya ya Makete mh.Samweli Sweda ametoa rai kwa vijana hao kumiliki leseni na kutoa taarifa za matukio ya uharifu.…

Mission and Vision

Kitulo Fm radio ni kituo cha kijamii kinachozalisha maudhui yenye hadhi ya kujenga jamii ya kitulo