17 March 2026, 5:20 pm

Anyowise ahukumiwa kifungo cha miaka 7 gerezani

Kutokana na wimbi la wizi katika maeneo mbali mbali jamii imetakiwa kuacha vitendo hivyo na badala yake wajike katika shughuli halali za kujipatia kipato na mwandishi wetu. Mahakama ya Wilaya ya Makete Mkoani Njombe imemuhukumu Anyowise Gehezi sanga maarufu kwa…

Offline
Play internet radio

Recent posts

22 July 2026, 10:13 am

Ikonda walia na changamoto ya barabara

Kutokana na umuhimu mkubwa wa miundombinu ya barabara katika maeneo mengi hapa nchini, wakazi wa kijiji cha Ikonda wamewasilisha changamoto ya barabara ambazo zimekuwa zikiwaletea adha kubwa katika shughuli zao za kila siku hasa wakati wa masika na kuiomba serikali…

22 July 2026, 10:04 am

Makete waomba bunduki, risasi kufukuza ngedere waharibifu

Baada ya baadhi ya wananchi kupatiwa mafunzo ya kutumia bunduki, wameiomba serikali kuwapa bunduki na risasi kwa lengo la kufukuza ngedere waharibifu wanaoharibu mazao yao shambani na kukosa mazao mengi ambayo walitarajia kuyapata jambo linalowaletea adha kubwa wakulima hao. Na…

24 June 2026, 9:40 am

Dc Kissa awanyoonyeshea mkono wananchi wa makete

Mkuu wa wilaya ya makete mh kissa gwakisa kasongo kutokana na halmashauri kupata hati safi mkuu wa wilaya ya makete ametoa pongezi kwa mkurugenzi pamoja na wananchi kwa kazi kubwa wanayofanya ya kujiingizia kipato huku akiongeza kwa kusema kuwa haimpishida…

24 June 2026, 9:30 am

Halmashauri ya makete yapongezwa kupata hati safi

katibu tawala mkoa wanjombe Dkt Stephen Nindi umoja ni nguvu utengano ni udhaifu ni kauli iliyojidhihilisha kwenye baraza maalumu la madiwani  la kupokea na kujadili hoja za mdhibiti na maguzi mkuu wa hesabu za serikali (CAG) jambo lililopelekea halmashauri kupata…

22 June 2026, 7:34 pm

Wazazi acheni kuwapa simu watoto wenu

Afisa tawala wilaya ya makete ndg  Onespholia Ngogo kutokana na wimbi la watoto kutumia simu wito umetolewa kwa wazazi na jamii kwa ujumla kuacha tabia hiyo ya kuwazoesha watoto simu ili kuwa na kizazi kilicho bora pamoja na kuacha kuwalaza…

22 June 2026, 9:57 am

DC Makete ahimiza waumini kudumisha amani

Wito umeendea kutolewa kwa vijana na wananchi kwa ujumla kuendelea kuitunza amani na kudumisha upendo na mshikamano ili kuwa na taifa imara na lilobora. na mwandishi wetu. Mkuu wa Wilaya ya Makete kissa gwakisa kasongwa jana Juni 21, 2026 ameshiriki…

Mission and Vision

Kitulo Fm radio ni kituo cha kijamii kinachozalisha maudhui yenye hadhi ya kujenga jamii ya kitulo