Kitulo FM
Kitulo FM
24 June 2026, 9:40 am

Mkuu wa wilaya ya makete mh kissa gwakisa kasongo
kutokana na halmashauri kupata hati safi mkuu wa wilaya ya makete ametoa pongezi kwa mkurugenzi pamoja na wananchi kwa kazi kubwa wanayofanya ya kujiingizia kipato huku akiongeza kwa kusema kuwa haimpishida kama kiongozi katika kuhamasisha wanachi wanajikita katika ufanyaji wa kazi
na mwandishi wetu
Mkuu wa wilaya ya makete mh kissa gwakisa kasongo amepongeza mkurungezi wa halmashauri ya wilaya ya makete ndugu jerry daimon mwaga pamoja na watalamu wake kwa kuonesha weledi na jitihada madhubuti katika ukusanyaji wa mapato ya halmashuri
Ametoa pongezi hizo hii leo kwenye baraza la madiwani ambapo amesema weledi huo wa ukusanyaji mapato ya hamashauri umepolekea halamshauri kukusanya mapato zaidi ya asilimia 103 kabla ya mwaka wa fedha 2025/2026 kumalizika jambo ambalo litarahisisha utekelezaji wa shuguli za maendeleo katika wilaya ya makete.
sauti ya DC 01
Pamoja na mambo mengeni amesisitiza kuwa wilaya ya makete ni wilaya ya kazi na wananchi wa wilaya ya makete ni wachapazi ikilinganishwa na baadhi ya maeneo hapa nchini hivyo ametumia nafasi hiyo kuwasii wanamakete kuendelea kufanya kazi kwa bidii.
sauti ya DC 02.