Radio Tadio

Maendeleo

25 July 2024, 10:34 am

M/Kiti UVCCM wilaya ya Geita ahimiza vijana kujiandikisha

Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana CCM mkoa wa Geita Manjale Magambo amewataka vijana kujitokeza katika kwenda kujiandikisha katika daftari la mpinga kura. Na: Kale Chongela – Geita Mwenyekiti wa UVCCM Manjale Magambo akiwa katika mkutano wa hadhara uliofanyika Julai 22,…

9 July 2024, 2:41 pm

Jamii yakumbushwa kuacha kutumikisha watoto Geita

Jamii imekumbushwa kuwalinda watoto dhidi a vitendo hatarishi ili kupunguza ukatili ambao unaendelea kwenye jamii. Imeelezwa kuwa kumekuwepo na ongezeko la watoto wanaoishi mazingira magumu (mitaani) katika mtaa wa Msalala road uliopo kata ya Kalangalala halmashauri ya mji wa Geita…

24 June 2024, 7:34 am

CCM yaagiza viongozi wazembe washughulikiwe Geita

Viongozi wazembe wanaokwamisha miradi na wenye dharau wamekalia kuti kavu mkoani Geita baada ya katibu wa NEC kuagiza wasakwe na wachukuliwe hatua. Na Mrisho Sadick: Katibu wa NEC Organization na mlezi wa CCM Mkoa wa Geita Issa Haji Ussi GAVU…

11 April 2024, 5:18 pm

Idifu waomba kusambaziwa huduma ya umeme

Tangu REA kusimika nguzo za umeme kwa kufuata muelekeo wa barabara imesababisha baadhi ya maeneo mengi kushindwa kufikiwa na huduma hiyo. Na Victor Chigwada.Uongozi wa serikali ya kata ya Idifu wilayani Chamwino umeiomba serikali kuwasambazia huduma ya umeme katika maeneo…

6 February 2024, 10:47

Kamati zapongezwa utekelezaji wa miradi Rungwe

Na mwandishi wetu Kamati ya fedha (FUM) imefanya ukaguzi wa ujenzi wa shule mpya ya Msingi Umoja yenye Mchepuo wa Kingereza iliyopo Ilenge kata ya KyimoMwenyekiti wa Halmashauri ya wilaya ya Rungwe Mheshimiwa Mpokigwa Mwankuga ndiye aliyeongoza kamati hii ambapo…

1 February 2024, 17:36

Chunya yafanikiwa kujenga na kukamilisha miradi ya maendeleo

Na Hobokela Lwinga Wilaya ya Chunya mkoani mbeya imesema kwa miaka mitatu kuanzia mwaka 2021-2023 imefanikiwa kujenga jengo la utawala lenye thamani ya Zaidi ya  billion mbili. Akiwasilisha  taarifa ya utekelezaji wa miradi ya maendeleo katika mkutano na waandishi wa…