Maendeleo
21 May 2026, 17:44
Wakulima wa zabibu walia na changamoto ya soko la uhakika
Licha ya changamoto ya wanunuzi wa zabibu msimu wa mavuno pia wanaiomba serikali kuwapatia mbegu bora kwa bei nafuu ili waweze kuzalisha zabibu zenye ubora. Na Victor Chigwada. Wakulima wa zabibu katika Kata ya Handali wilayani Chamwino wameiomba Serikali kutatua…
18 May 2026, 5:57 pm
CHADEMA Katavi yazindua mkutano wake wa kwanza Kakese
“Tunashinikiza serikali imuachie Tundu Lissu” Na Leah Kamala Wananchi kata ya Kakese manispaa ya Mpanda mkoani Katavi wamepongeza hatua ya kuruhusiwa kufanya mikutano ya hadhara kwa CHADEMA katika kujadili masuala mbalimbali ikiwemo umuhimu wa Katiba mpya. Hayo yamejiri katika mkutano…
15 May 2026, 10:43 am
Bunda TC yatakiwa kukamilisha miradi kwa wakati
Madiwani pamoja na wataalamu wa halmashauri wana wajibu wa kufuatilia kwa karibu utekelezaji wa miradi hiyo kuanzia hatua za mwanzo hadi kukamilika kwake. Na Thomas Masalu Katibu Tawala wa Wilaya ya Bunda, Salum Mtelela, ameielekeza Halmashauri ya Mji wa Bunda…
17 April 2026, 8:24 pm
Serikali Manyara yasitisha mnada wa uuzaji mali za umma
Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Manyara kupitia katibu Tawala msaidizi rasilimali Dominic Mbwete, amesitisha mnada wa mali za umma zilizokuwa zimetangazwa kuuzwa katika mnada kutokana na kuibuka sintofahamu kutoka kwa wafanyabiashara waliohudhuria kwa ajili ya kununua mali hizo. Na…
21 September 2025, 8:13 am
Equity Bank yazindua tawi Geita , RC asisitiza utofauti wa huduma
Equity Benki imejipanga kuhakikisha wananchi wa Geita hususani wachimbaji wadogo na wakati wa madini ya dhahabu wananufaika na huduma rafiki . Na Mrisho Sadick: Mkuu wa Mkoa wa Geita, Martine Shigela, ameutaka uongozi wa Equity Bank kuhakikisha unaleta ubunifu mpya…
26 May 2025, 16:35
BIG-Z yawezesha mafunzo ya kuboresha ukusanyaji mapato Zanzibar
Na Mary Julius. Washiriki mafunzo ya kujenga uwezo wa fedha za mamlaka za serikali za mitaa wametakiwa kuyatumia vema mafunzo hayo ili kujiongezea ujuzi ambao utasaidia kuboresha utendaji kazi na kuongeza ufanisi katika maeneo yao ya kazi.Mkurugenzi wa Idara ya…
31 January 2024, 19:14
Matinyi: Shirikianeni na vyombo vya habari kueleza kazi zinazofanywa na serikali
Na Hobokela Lwinga Mkuu wa mkoa wa Mbeya Juma Zuberi Homera amesema jengo jipya liliojengwa na serikali katika hospitali ya wazazi Kanda ya Mbeya “Meta“ linahudumia zaidi ya wanawake wajawazito 200. Hayo yamebainishwa katika mkutano na waandishi wa habari uliondaliwa…
30 January 2024, 17:38
Kamati zote zijengewe uwezo usimamizi miradi
Na mwandishi wetu Mkuu wa wilaya ya Chunya Mrakibu Mwandamizi wa Uhamiaji Mhe. Mbaraka Alhaji Batenga ameagiza kamati zote za ujenzi zinazosimamamia Miradi mbalimbali ya Ujenzi wilayani Chunya zijengewe uwezo wa kusimamia miradi husika ili watakapokiuka maelekezo waweze kuchukuliwa hatua…
16 January 2024, 10:19
Wananchi wajenga shule ya sekondari, serikali yatia mkono
Na mwandishi wetu Isaka sekondari, shule mpya katika kata ya Nkunga ambayo imesajiliwa kwa namba S. 6491 na tayari imeanza kupokea wanafunzi wa kidato cha kwanza. Kuanzishwa kwa shule hii kumesaidia kuondoa msongamano wa wanafunzi darasani katika shule ya sekondari…
12 January 2024, 18:02
Tengeni maeneo ya kujenga miundombinu ya maendeleo kwenye maeneo yenu
Na mwandishi wetu,Chunya Kamati ya fedha, Uchumi na Mipango ya Halmashauri ya wilaya ya Chunya ikiongozwa na Makamu mwenyekiyi wa Halmashauri imeagiza viongzoi wa vijiji na kata zote kutenga maeneo ya kujenga miundombinu ya maendeleo katika vijiji na kata zao…