On air
Play internet radio

Recent posts

22 May 2024, 7:08 pm

65% ya wanafunzi Bunda hufeli mtihani kidato cha nne

Wazazi kutofatilia maendeleo ya watoto shuleni , utoro na ukosefu wa chakula shuleni chanzo cha wanafunzi wengi kufeli mtihani wilayani Bunda. Na Adelinus Banenwa Serikali wilayani Bunda chini ya mkuu wa wilaya dkt Vicent Naano imewasilisha utekelezaji wa ilani ya …

19 May 2024, 1:04 pm

Onyo! watumishi wasiyotoa ushirikiano kwa waandishi: RC Mtambi

“Kama wewe ni mtumishi wa serikali mkoa wa Mara na hutaki kutoa habari kwa waandishi mimi nakuona ni msaliti” Na Adelinus Banenwa Mkuu wa mkoa wa Mara Kanali Evance Mtambi ametoa onyo kwa watumishi wa serikali mkoani Mara wasiotoa ushirikiano …

11 May 2024, 7:41 pm

TAKUKURU yawataka wananchi kutambua viashiria vya rushwa kuelekea uchaguzi

TAKUKURU yaanza kujipanga kudhibiti matukio na vitendo vya rushwa kuelekea uchaguzi serikali za mitaa. Na Adelinus Banenwa Kujitoa kugombea, kusafirisha wapigakura, kununua au kuuza kadi ya mpiga kura ni miongoni mwa mambo yanayotajwa kuwa ni rushwa  katika kipindi cha uchaguzi.…

10 May 2024, 6:33 pm

Mrida; serikali inatushirikisha sisi wafugaji

Kwa mwaka wa 2023 ha 2024 zaidi ya majosho 246 nchi nzima hii inaonesha serikali inawajali wafugaji. Na Adelinus Banenwa Mwenyekiti wa wafugaji taifa Ndugu Mrida Mshota amewataka maafisa mifugo kuwatembelea wafugaji na kuwapatia elimu badala ya kukamata mifugo yao.…

7 May 2024, 2:40 pm

Waathirika wa mafuriko Lamadi wapongeza viongozi kuwatembelea

Na Edward Lucas Wahanga wa mafuriko kata ya Lamadi Wilaya ya Busega Mkoani Simiyu wamewashukuru viongozi wa CCM mkoa na Mkuu wa Wilaya ya Busega kuwatembelea na kusikiliza changamoto zao. Wakizungumza na Radio Mazingira Fm kwa nyakati tofauti baada ya…

6 May 2024, 5:41 pm

Mafuriko yawaweka hatarini wakazi wa Lamadi Simiyu

Na Edward Lucas Wananchi wa Kitongoji cha Makanisani na Lamadi kata ya Lamadi wilaya ya Busega mkoani Simiyu wako hatarini kupata milipuko ya magonjwa baada ya vyoo kujaa maji kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha. Wakizungumza na Mazingira Fm wakazi hao…

5 May 2024, 6:22 pm

Ushirikiano na maslahi bora kwa walimu chachu kuongeza ufaulu Nyamakokoto

Serikali ikizishughulikia changamoto za walimu na wazazi wakiwa na ushirikiano na walimu itasaidia kiwango cha ufaulu kitaongezeka. Na Adelinus Banenwa Wito umetolewa kwa wazazi na walezi kushrikiana na walimu pamoja na serikali ili kuinua kiwango cha ufaulu wa wanafunzi shuleni…

2 May 2024, 10:25 am

Mwenyekiti wa senet Mara awafunda wahitimu chuo cha ualimu Bunda

Suala la uzalendo, kuzingatia maadili kujituma katika kufanya kazi vyachukua nafasi nasaha za viongozi kwenye mahafali ya wanafunzi wa CCM chuo cha ualimu Bunda Na Adelinus Banenwa Wito umetolewa kwa vijana wasomi nchini kuwa na maadili mema na kufanya kazi…