Mazingira FM

Mwananchi akamatwa kwa kusafirisha Kobe 438 Simiyu

2 April 2021, 4:42 pm

kobe waliyokutwa kwenye mabegi
  • Jeshi la Polisi linamshikilia Mkazi wa Bunda Mkoani Mara kwa kukutwa akisafirisha Kobe 438 kwenye mabegi matatu bila ya vibali
  • Kobe hao wana thamani ya Shilingi Milioni 71.