Recent posts
8 January 2026, 10:56 am
BUWSSA hupoteza milioni 600 kwa mwaka kwa upotevu wa maji
Upotevu wa maji kwenye mamlaka ya maji Bunda kwa sasa ni asilimia 31 kati 45 iliyokuwepo awali hali inayopelekea kupoteza zaidi ya shilingi milioni 600 kwa mwaka. Na Adelinus Banenwa Serikali imesema haitaanzisha miradi mingine mipya ya maji hadi pale…
6 January 2026, 9:09 pm
Makaburi hewa changamoto kwenye mradi wa tanesco Bunda
Msaki amesema katika zoezi hilo wanakumbana na changamoto kadhaa ikiwemo watu kutaja makaburi ambapo ukichimba unakuta hamna kitu hivyo kuwepo kwa makaburi hewa. Na Adelinus Banenwa Halmashauri ya Wilaya ya Bunda mkoani Mara imeanza zoezi la uhamishaji wa makaburi ili…
6 January 2026, 10:59 am
Watatu wa familia moja wafariki kwa moto Musoma
Taarifa iliyotolewa kwa njia ya simu na Kaimu Kamanda wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Mkoa wa Mara, Augustin Magere, chanzo cha moto huo kimebainika kuwa ni sebuleni mwa nyumba hiyo. Na Thomas Masalu, Majanga yameikumba familia moja katika eneo…
2 January 2026, 6:10 pm
Dkt. Bwire asherehekea mwaka mpya na watoto wa mazingira magumu
Amesema ameona ni vema wakati akifungua mwaka mpya 2026 ashiriki na watoto hao kwa kuwapatia mahitaji mbalimbali kama vile mchele kilo , sukari kilo, juice pamoja na mikate . Na Adelinus Banenwa Wito umetolewa kwa jamii kuwajali watoto wasiyojiweza na…
28 December 2025, 8:31 pm
Wananchi Mara watahadharishwa mvua zinazonyesha
Upande wa madereva Kamanda Magere amesema wasikubali kupita juu ya madaraja au karvati ambalo limefunikwa na maji kwa kuwa ni ngumu kujua hali ya usalama wa eneo husika , pia ametoa rai kwa wazazi na walezi kuhakikisha watoto hawachezei kwenye…
24 December 2025, 8:05 pm
Wakulima wapewa somo faida ya mbolea ya samadi
Afisa kilimo Elton Dickison Mtani wakulima tumieni mbolea ya samadi ina faida kubwa kwenye kurutubisha udogo mashambani. Na Catherine Msafiri, Wakulima wamepewa somo matumizi ya mbolea ya samadi ili kutunza unyevuunyevu kwenye udongo kuepuka athari za mabadiliko ya tabianchi. Elimu…
23 December 2025, 4:10 pm
Maboto apokea hati ya pongezi kutoka TRA
Josephine wamepokea kwa moyo wa shukrani hati hiyo na imekuwa ni desturi yao kuhakikisha wanalipa kodi vizuri. Na Adelinus Banenwa Mamlaka ya mapato Tanzania TRA Mkoa wa Mara wamekabidhi hati ya pongezi kwa Maboto Microfinence kwa kuwa mlipakodi bora kwa…
23 December 2025, 12:08 pm
TRA waja na dawati maalum la uwezeshaji biashara
Ruth Kisinga afisa msaidizi wa kodi TRA dawati maalumu la uwezeshaji biashara lina umuhimu mkubwa na msaada unatolewa bure kwa wafanyabishara wote nchini. Na Catherine Msafiri,Wafanyabishara wamekumbushwa kulipa kodi awamu ya nne bila kuchelewa ili kuepuka gharama za faini na…
13 December 2025, 8:45 pm
Milion 330.7 kujenga shule mpya Nyasura
Ujenzi huo utahusisha vyumba vya madarasa 6, jengo la utawala, vyoo matundu 18, Pamoja na vyumba viwili vya madarasa vya elimu ya awali. Na Adelinus Banenwa Kutokana na msongamano wa wanafunzi shule ya msingi Nyasura iliyopo kata ya Nyasura mjini…
13 December 2025, 3:11 pm
Utoaji vitamini A, dawa za minyoo kupunguza vifo 24% Mara
Afisa lishe mkoa wa Mara Bi.Grace Martine mkoa wa Mara kuna 23.4% ya udumavu kwa Watoto,watoto wakipata vitamini A na dawa za minyoo vifo vya watoto vitapungua kwa 24% Na Catherine Msafiri , Wazazi wameaswa kuhakikisha wanawapeleka watoto wao wenye…