Mazingira FM
Mazingira FM
8 September 2026, 10:59 am
Mpango wa “Kopa Ng’ombe, Lipa Maziwa” unalenga kuwasaidia wafugaji kutoka katika umaskini kwa kuwawezesha kupata ng’ombe na kulipa gharama kwa kutumia sehemu ya mapato yatokanayo na uzalishaji wa maziwa. Na Adelinus Banenwa Imeelezwa kuwa mpango huo unaotekelezwa kwa ufadhili wa…
8 September 2026, 10:27 am
Mkuu wa Wilaya ya Bunda, Mhe. Aswege Enock Kaminyoge amesema ziara ya Waziri Mkuu wilayani humo ni fursa kwa wananchi kueleza changamoto zao moja kwa moja na viongozi wa serikali, hivyo wananchi wanapaswa kuitumia ipasavyo. Na Adelinus Banenwa Mkuu wa…
8 September 2026, 8:19 am
Moja ya changamoto zilizokuwepo ni pamoja na mifugo kukamatwa ijumaa kisha kwa weekend inakwenda kuuzwa ikidaiwa haina mwenyewe. Na Adelinus Banenwa Mwenyekiti wa wafugaji taifa Mrida Mshota ameipongeza serikali kwa kufuta sheria ya utaifishaji mifugo akisema uamuzi huo unakwenda kuleta…
28 August 2026, 9:45 pm
Wananchi kwa kushirikiana na viongozi wamelazimika kuingia porini kumsaka mtu anayeshukiwa kuwateka wanawake, kuwatembeza uchi na kuwafanyia vitendo vya ukatili. Na. Edward Lucas Wananchi wa Mtaa wa Mihale, Kata ya Mcharo na maeneo jirani wilayani Bunda, mkoani Mara, leo wamekusanyika…
27 August 2026, 6:40 pm
Usimamizi mzuri ni msingi muhimu unaoweza kusaidia jambo lililoanzishwa kuwa endelevu kwa muda mrefu. Na Adelinus Banenwa Imeelezwa kuwa ili kufanikiwa katika maisha na kutimiza maono, ni muhimu kuzingatia usimamizi mzuri pamoja na uaminifu. Hayo yamesemwa na Mkurugenzi wa Maboto…
26 August 2026, 11:27 am
Watmetembezwa uchi porini, wengine wakaachiwa huku yeye akiendelea kushikiliwa na kufanyiwa vitendo vya ukatili. Akiwa huko, anasema alitishiwa kuuawa na kulazimishwa kumpigia simu mumewe pamoja na mama yake, akiwaomba watume shilingi laki tano. Mwanaume huyo alidai fedha hizo kuwa sharti…
24 August 2026, 11:17 am
Ushirikishwaji wa viongozi wa vitongoji, mitaa, vijiji na kata utasaidia kuongeza ushiriki wa wananchi, kwa kuwa viongozi hao wanafahamu kwa karibu wananchi na kaya zilizopo katika maeneo yao. Na Mariam Mramba Mkuu wa Wilaya ya Bunda, Aswege Enock Kaminyoge, amewataka…
24 August 2026, 10:50 am
Kumekuwepo changamoto kwa wakulima kutokana na kukosekana kwa ufafanuzi na mwongozo kuhusu mfumo wa ununuzi wa mbegu katika msimu huu. Na Adelinus Banenwa Wito umetolewa kwa Serikali kutoa ufafanuzi kuhusu utaratibu wa uuzaji wa mbegu katika msimu mpya wa kilimo…
24 August 2026, 6:33 am
Wanafunzi hao wamekanusha taarifa kwamba mwanafunzi huyo alipigwa fimbo mbili pekee, wakidai kuwa alichapwa na walimu kadhaa, huku wakitaja idadi ya takribani walimu 30. Na Adelinus Banenwa Wanafunzi wa Shule ya Sekondari Makongoro, iliyopo Halmashauri ya Wilaya ya Bunda mkoani…
23 August 2026, 8:44 pm
Wananchi wanapaswa kutambua kuwa kutoa ushahidi wa tukio la ukatili wa kijinsia ni sehemu ya kumsaidia mwathirika kupata haki Na. Edward Lucas Wananchi wametakiwa kutoa ushirikiano kwa vyombo vya sheria kwa kutoa ushahidi wa matukio ya ukatili wa kijinsia wanapohitajika,…
Mazingira FM ni kituo cha radio chenye maudhui ya kijamii,kilichoanzishwa Mwaka 2011.
Mazingira fm inatangaza kutoka maeneo matatu (3) ndani ya mkoa wa mara ili kuwa na usikivu wa uhakika, ambapo Mnara mkuu upo wilaya ya Bunda, na mingine ipo wilaya ya Tarime na Musoma
Usikivu.
Mazingira fm inasikika katika wilaya zote za mkoa wa Mara, Bunda, Musoma,Tarime, Serengeti, Rorya na Butiama na kwa mkoa Simiyu inasikika katika wilaya za Busega, Bariadi, Maswa na Itirima kwa Mkoa wa mwanza inaskika katika wilaya za magu,ukerewe, kwimba na misungwi.
Muundo wa vipindi 70% mazungumzo na 30% ya muziki katika matangazo ya kila siku.
Mawasiliano.
P.o box 51
Saranga, kabarimu, Bunda
Postcode-31530
Tel:0621046491
mazingirafm@gmail.com
https://radiotadio.co.tz/mazingirafm/
www.mazingirafm.com