Mazingira FM
Baraza la madiwani Bunda mjini laagiza kukagua uwekezaji eneo la mlima balili.
3 March 2023, 2:37 pm
Baraza la Madiwani Halmashauri ya Mji wa Bunda Mkoani Mara, limehitimisha mjadala juu ya eneo la uwekezaji la Landmasters kwa maelekezo ya kamati kukaa na kwenda na mapendekezo ambayo yatawawezesha kufanya maamuzi.
Uelekeo huo umetolewa tarehe 2 March 2023 katika Mkutano wa Baraza hilo wa Robo ya Pili ya Mwaka wa Fedha 2022/2023 ulioketi katika ukumbi wa mikutano wa Halmashauri kujadili mambo mbalimbali.
Awali wakichangia mjadala juu ya eneo hilo la uwekezaji madiwani wamesema;
Akitoa taarifa ya hitimisho la mjadala huo Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji wa Bunda, Emmanuel Mkongo ambaye alikuwa Katibu katika mkutano huo amesema: