Mazingira FM

Wanawake mkoani Mara watakiwa kuzingatia muda kujiletea maendeleo

4 July 2023, 2:27 pm

Mjumbe wa Halmashauri Kuu CCM Taifa kupitia umoja wa wanawake UWT Bi Joyce Mang’o, Picha na Adelinus Banenwa

Na Adelinus Banenwa

Mjumbe wa halmashauri kuu ya CCM Taifa kupitia umoja wa wanawake UWT Bi Joyce Mang’o amemshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan kwa kuwapeleka wanawake viongozi kupata mafunzo nchini China.