Mazingira FM
Ushirikishwaji kwa watu wenye ulemavu kwenye afua mbalimbali za kijamii
6 June 2024, 9:15 am
Kipindi kinachoelezea kwa namna gani ushirikishwaji wa watu wenye ulemavu kwenye afua mbalimbali za kijamii unaleta mabadaliko ya kujitambua na kujithamini ili kufikia malengo yao – elimu kutoka shirika lisilo la kiserikali ATFGM-Masanga