Radio Tadio

elimu

1 July 2026, 12:13

Viongozi wa ushirika watakiwa kushirikiana na wakaguzi Kigoma

Vyama vya ushirika vina mchango mkubwa katika kuboresha maisha ya wananchi kwa kuwawezesha kushiriki katika shughuli za kiuchumi, kuongeza kipato na kuimarisha maendeleo ya jamii ili vyama hivi viweze kufikia malengo yake, ni muhimu viendeshwe kwa kuzingatia misingi ya uwazi,…

23 June 2026, 10:29 pm

Ubadilishaji wa mita za kisasa za umeme unaendelea

Zoezi la ubadilishaji wa mita za kisasa za umeme  (Smart Meter) linaendelea katika Mkoa wa Manyara na sasa limeingia katika  awamu ya pili  ambapo linafanyika katika maeneo mbalimbali ya mkoa wa Manyara  kwa lengo la kuboresha huduma za umeme na…

5 June 2026, 6:28 pm

Manyara wahimizwa kukagua mifumo ya umeme

Wananchi mkoani Manyara wamehimizwa kuhakikisha wanakagua mifumo ya umeme katika nyumba, Taasisi na maeneo ya biashara mara kwa mara ili kubaini changamoto zinazoweza kujitokeza na kuzifanyia marekebisho kwa wakati. Na Mzidalfa Zaid Wito huo umetolewa na Afisa Uhusiano wa Shirika…

21 September 2025, 8:40 am

JKT Itaka wafundisha utengenezaji mkaa mbadala

Ikiwa ni utekelezaji wa agizo la serikali la matumizi ya nishati safi Na Stephano Simbeye KIKOSI cha Jeshi la kujenga Taifa (JKT) 845KJ Itaka wilaya ya Mbozi mkoani Songwe kimeanza kufundisha jinsi ya kutengeneza mkaa mbadala kwa kutumia taka za shambani.…

7 July 2025, 12:19

Viongozi wa dini watakiwa kutokuwa na chuki

Askofu wa Kanisa la Anglikana Dayosisi ya Wesern Tanganyika amewataka wachungaji kuwatumikia kwa upendo. Na Hagai Ruyagila Wachungaji na viongozi wa Kanisa la Anglikana, Dayosisi ya Western Tanganyika (DWT), wametakiwa kuachana na roho ya chuki na migawanyiko miongoni mwao, badala…

3 February 2024, 7:23 pm

UWT Ludete yawapa tabasamu wanafunzi walioripoti bila sare

Jamii yashauriwa kuendelea kuwasaidia wanafunzi wanaoishi kwenye mazingira magumu ili waweze kutimiza ndoto zao. Na Mrisho Sadick: Wananchi kwa kushirikiana na Jumuiya ya umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Kata ya Ludete wilayani Geita wamejitokeza kuwasaidia wanafunzi wanaoishi kwenye mazingira magumu…

3 February 2024, 4:47 pm

Hatimaye shule yanukia Serengeti Kyela

Baada ya kukosekana kwa shule za msingi na sekondari hatimaye wakaazi wa kata ya Serengeti hapa wilayani Kyela wanatarajia kuanza ujenzi wa shule baada ya kupatikana eneo. Na Masoud Maulid Kutokana na kilio cha muda mrefu kwa wananchi wa kata…

30 January 2024, 10:16 pm

Kyela:Wanafunzi zaidi ya 40 hawajaripoti Ngonga Sekondari

Wakati mhura mpya wa masomo ukianza rasmi hapa nchini Tanzania zaidi ya wanafunzi 40 hawajaripoti katika shule ya sekondari Ngonga kutokana na sababu zisizotambulika na mamlaka husika. Na Nsangatii Mwakipesile Mtendaji wa kata ya Ngonga Lutufyo Mwangamilo ametoa tahadhari ya…