
Recent posts

21 June 2025, 10:41 pm
EWURA yawapiga msasa wauzaji wa gesi LPG Manyara
Mamlaka ya udhibiti wa huduma za nishati na maji (EWURA) kanda ya kaskazini imekutana na wadau wa nishati ya gesi ambao ni wasambazaji na wauzaji wa mitungi ya gesi ya kupikia majumbani (LPG) Â mkoani manyara na kuwapa elimu, kanuni na…

20 June 2025, 9:59 pm
Bonga yanufaika na bil 2 za miradi
Mkurugenzi wa halmashauri ya mji wa Babati Shaaban Mpendu amefanya ziara ya kikazi katika kata ya bonga na kusikiliza changamoto za wananchi wa kata hiyo pamoja na kutoa takwimu ya fedha na miradi iliyotekelezwa. Na George Augustino. Mkurugenzi wa halmashauri…

19 June 2025, 11:14 pm
Wafanyabiashara wa mazao ya misitu, nyuki watakiwa kujisajili
Wafanyabiashara wa mazao ya misitu na mazao ya nyuki wilayani Hanang mkoani Manyara wametakiwa kujisajili kupata leseni za kufanya biashara hizo au kuuisha leseni zao kwa wafanyabiashara ambao wana leseni ifikapo july 1. Na Mzidalfa Zaid Wito huo umetolewa na…

19 June 2025, 10:49 pm
Wananchi Magugu wafurahishwa utekelezaj ilani ya CCM
Wananchi wa kata ya Magugu wilayani Babati mkoani Manyara, wameipongeza serikali ya awamu ya sita kwa kuleta maendeleo katika kata hiyo kwa kuhakikisha inatatua changamoto ya maji, afya, bara bara, elimu na kilimo huku wakimpongeza diwani wa kata hiyo kwa…

19 June 2025, 8:39 pm
Mwanafunzi darasa la nne Babati afariki kwa ajali akielekea shule
Mtoto wa darasa la nne wa shule ya msingi Kiongozi kata ya Maisaka mkoani manyara, Prosper Gwai mwenye umri wa miaka 11, amefariki baada ya kugongwa na gari wakati akilekea shuleni. Na Mzidalfa Zaid Akiongea na fm Manyara mwenyekiti wa…

16 June 2025, 11:43 pm
NSSF Manyara yatoa siku 14 kwa waajiri wadaiwa sugu
Mfuko wa Taifa wa hifadhi ya jamii(NSSF)mkoa wa Manyara unatarajia kuanzisha operesheni maalumu ya ukusanyaji wa madeni kwa waajiri wenye malimbikizo ya michango ili kuhakikisha haki za msingi za wananchama zinalindwa Na Mzidalfa Zaid Waajiri wenye malimbikizo ya michango ya…

6 June 2025, 5:34 pm
Pelum Tanzania yawataka wakulima kutumia mbegu za asili
Wakulima mkoani Manyara wametakiwa Kutumia mbegu za asili kwenye kilimo ili kupata faida na kunufaika na mazao yake. Na Marino Kawishe Shirika lisilo la kiserikali la Pelum Tanzania limewataka wakulima wilayani Babati mkoani Manyara kuendeleza kilimo cha mbegu za asili…

5 June 2025, 7:00 pm
   Dereva afariki kwa ajali ya gari babati
Na George Augustino. kijana aliyefahamika kwa jina moja maarufu la digidigi (48) amefariki dunia katika ajali ya gari la mizigo iliyotokea leo majira ya saa tano asubuhi katika daraja linalounganisha kijiji cha orongadida na kijiji cha majengo vilivyopo katika kata…

5 June 2025, 6:32 pm
CSP yaadhimisha Siku  ya Mazingira Duniani kwa kutoa elimu
Kila tarehe 5 Juni, kila mwaka Watanzania tunaungana na mataifa mengine duniani kuadhimisha Siku ya Mazingira Duniani kwa kufanya shughuli mbalimbali za kimazingira ikiwemo usafi wa mazingira na upandaji wa miti. Na George Augustino shirika lisilo la serikali la civil…

29 May 2025, 11:53 pm
Halmashauri ya mji wa Babati yaazimia kupambana na matukio ya ukatili wa kijinsi…
Ili kupunguza na kutokomeza matukio ya ukatili wa kijinsia na watoto halmashauri ya mji wa Babati mkoani Manyara imejiwekea mikakati na kuamua kutekeleza maazimio ya kupambanana ukatili wa kijinsia Na George Augustino Mkurugenzi wa halmashauri ya mji wa Babati Shaaban…