FM Manyara

Usawa wa kijinsia unazingatiwa kwa namna gani mashuleni?

29 May 2026, 1:47 pm

Picha ya wanafunzi wa shule ya sekondari Babati day

Karibu usikilize makala maalum inayohusu usawa wa kijinsia unazingatiwa kwa namna gani mashuleni? makala yetu imzezungumza na walimu wakuu, wanafunzi pamoja na walimu katika shule mbalimbali wilayani Babati mkoani Manyara.

Na Mzidalfa Zaid, Hawa Rashid

Sauti ya makala inayozungumzia usawa wa kijinsia unavyozingatiwa mashuleni
Picha ya baadhi ya wanafunzi wa shule ya sekondari Komoto