FM Manyara
FM Manyara
15 July 2026, 10:30 pm

Vijana mkoani Manyara wametakiwa kuacha tabia ya kutopenda kufanya kazi wakisubiri kupata mafanikio ya haraka.
Na Marino Kawishe
Wito huo umetolewa na Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Empowercare Foundation yenye ofisi zake Uyole mkoaani Mbeya Onesmo Mwihava amesema haliyo inasababisha na watu wengi kupenda kuwatumia vijana na kusababisha mmonyoko wa maadili ambapo vijana wengi wanataaluma lakini ktokana na hali hiyo wanashindwa kufanya kazi.
Aidha Mwihava amesema changamoto kubwa inayowakumbuka vijana wengi ni maendeleo ya utandawazi kutopenda kufanya kazi na matumizi mabaya ya mitandao ya kijamii ikiwemo kufanya kazi zisizokuwa rasmi kama kamari na kubeti