
Recent posts

27 March 2025, 9:58 pm
Wanawake Hanang’ wapata elimu ya uandaaji lishe
Baadhi ya wanawake wilayani Hanang mkoani Manyara wamefundishwa namna ya kuandaa lishe bora ili kudhibiti tatizo la udumavu kwa watoto. Na Mzidalfa Zaid Katika kuhakikisha watoto wanakuwa na lishe bora, jamii wilayani Hanang mkoani Manyara imeshauriwa kuhifadhi vyema mazao,kwa kuhakikisha…

27 March 2025, 9:20 pm
Takukuru yabaini mianya ya rushwa Babati
Mkuu wa TAKUKURU mkoa wa Manyara Bahati Haule amesema Takukuru imebaini mianya ya rushwa ikiwemo uwezo mdogo wa Halmashauri kumudu jukumu la uondoshaji wa taka ikiwemo taka ngumu. Na George Agustino Taasisi ya na Kuzuia na Kupambana na Rushwa(TAKUKURU) Mkoa…

26 March 2025, 7:47 pm
Sumu kuvu ilivyoathiri watoto Babati
Imeelezwa kuwa baadhi ya watoto wa kuanzia umri wa miezi 6- 24 wilayani Babati mkoani Manyara wameathiriwa na changamoto ya sumu kuvu kutokana na jamii kutokuwa na uelewa wa kuhifadhi mazao katika sehemu salama. Na Mzidalfa Zaid Kufuatia utafiti uliofanyika…

20 March 2025, 3:55 pm
Ruwasa Manyara yaadhimisha wiki ya maji kwa kutoa elimu
Ruwasa Manyara yaadhimisha wiki ya maji kwa kutoa elimu. Wakala wa usambazaji maji na usafi mazingira vijijini mkoa wa Manyara yawataka wananchi kutunza vyanzo vya maji. Na Mzidalfa Zaid Wakati wiki ya maji ikiendelea kuadhimishwa , wananchi Mkoani Manyara wametakiwa…

20 March 2025, 1:04 pm
Burunge WMA na mbinu mpya migogoro ya wananchi, wanyamapori
Mkuu wa Wilaya ya Babati Emmanuela Kaganda amefurahishwa na mbinu ambayo imetumiwa na viongozi wa Jumuiya ya hifadhi ya wanyamapori ya Burunge ya kugawa mahindi ili kupunguza migogoro kati ya wananchi na wanyamapori Na Mzidalfa Zaid Jumuiya ya hifadhi ya…

14 March 2025, 6:39 pm
Kijiji cha Sangaiwe chakusanya bilioni 2.4 kutokana na uhifadhi
Mkuu wa wilaya ya Babati mkoani Manyara Emmanuela Kaganda amefurahishwa na uwekezaji uliofanyika katika kijiji cha Sangaiwe ambao umetokana na jitihada za wananchi wa kijiji hicho. Na Mzidalfa Zaid Mkuu wa wilaya ya Babati mkoani Manyara Emmanuela Kaganda amekagua miradi…

8 March 2025, 12:52 am
ALAT yakagua majengo mapya ya hospitali ya mji wa Babati
Kamati ya Jumuiya ya Tawala za Mitaa Tanzania (ALAT) mkoa wa Manyara imefanya ukaguzi wa miradi katika halmashauri ya mji wa Babati. Na Mzidalfa Zaid Kamati ya Jumuiya ya Tawala za Mitaa Tanzania (ALAT) mkoa wa Manyara imekagua majengo mapya…

7 March 2025, 11:54 pm
TPF-NET watoa mafunzo kwa askari wanawake
Mtandao wa Polisi wanawake mkoa wa Manyara (TPF-NET ) wametoa mafunzo kwa askari wanawake Na Angel Munuo Mtandao wa Polisi wanawake mkoa wa Manyara (TPF-NET ) wametoa mafunzo kwa askari wanawake ambayo yatawasaidia kupambana na ukatili wa kijinsia pamoja na…

4 March 2025, 6:22 pm
Wanawake Babati watoa msaada kwa watoto njiti
Na Mzidalfa Zaid Kuelekea maadhimisho ya siku ya wanawake duniani Machi 8 mwaka huu, wanawake wa Halmashauri ya Mji wa Babati mkoani Manyara wametoa misaada kwa watoto njiti katika hospitali ya rufaa ya mkoa wa Manyara na hospitali ya mji…

4 March 2025, 12:00 pm
Sillo aipongeza So They Can kwakuendeleza maendeleo kwa jamii
Shirika lisilo la kiserikali la So They Can limepongezwa kwa mchango wao wa kufanya maendeleo hapa nchini hasa katika sekta ya elimu Na Marino Kawishe Naibu waziri wa Mambo ya ndani ya Nchi na mbunge wa jimbo la Babati Vijijini…