FM Manyara
FM Manyara
21 September 2026, 5:17 pm
wananchi mkoani Manyara wametakiwa kutoa taarifa kwa mamlaka husika wanapobaini uwepo wa mtu anayeishi nchini bila kufuata taratibu za kisheria. Na Emmy Peter Idara ya Uhamiaji mkoani Manyara imewataka wananchi kuwa na utamaduni wa kumjua jirani yake na kutoa taarifa…
21 September 2026, 2:08 pm
Kambi ya matibabu iliyoratibiwa na Shirika la So They Can Tanzania (STC) imekamilika rasmi wilayani Babati Na Marino Kawishe Zaidi ya wananchi 1,800 wamepata huduma mbalimbali za afya, ikiwemo uchunguzi wa saratani ya shingo ya kizazi kwa wanawake, uchunguzi wa…
20 September 2026, 12:33 pm
Serikali mkoani Manyara imeupongeza uongozi wa shule ya Greenland iliyopo wilayani Babati mkoani Manyara kwa kutoa elimu bora . Na Emmy Peter Shule ya Greenland iliyopo Riroda mkoani Manyara, imefanya mahafali ya wanafunzi wa Darasa la Saba, ambapo Afisa Elimu…
18 September 2026, 11:39 pm
Mkoa wa Manyara umeanza kuchukua hatua za kukabiiliana na athari za mvua za elinino katika maeneo ambayo yanahisiwa kuathiriwa na mvua hizo. Na Mzidalfa Zaid Mkuu wa Mkoa wa Manyara, Martine Shigela, amefanya ziara ya kutembelea maeneo ya makazi ya…
18 September 2026, 10:37 pm
Imeelezwa kuwa wananchi wengi wanakabiliwa na matatizo ya uoni hafifu na usikivu duni, hali inayochangiwa na ukosefu wa elimu sahihi kuhusu afya. Na Marino Kawishe Imebainika kuwa idadi kubwa ya wananchi waliofika kwenye uchunguzi wa afya katika kambi ya matibabu…
18 September 2026, 1:46 pm
Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) mkoa wa Manyara limetoa elimu ya nishati safi ya kupikia kwa watumishi wa halmashauri ya mji wa Babati. Na Mzidalfa Zaid Watumishi wa Halmashauri ya Mji Babati mkoani Manyara wamepewa elimu kuhusu matumizi ya nishati…
17 September 2026, 9:43 pm
Mwamposa awaombea viongozi na wananchi wa manyara, atoa wito wa ushirikiano. Na Mzidalfa Zaid Mtume Bonifasi Mwamposa amefika katika Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Manyara na kutoa baraka kwa Mkuu wa Mkoa Martin Shigela, pamoja na watumishi wa ofisi…
17 September 2026, 9:15 pm
Wananchi wilayani Babati mkoani Manyara wametakiwa kuchangamkia fursa ya matibabu bure Na Marino Kawishe Zikiwa zimesalia siku mbili kabla ya kumalizika kwa kambi ya afya inayotoa huduma za matibabu katika baadhi ya kata wilayani Babati, mkoani Manyara, wananchi wametakiwa kuchangamkia…
17 September 2026, 6:55 pm
Mkuu wa Mkoa wa Manyara, Martin Shigela, leo amekutana na wazee wa kimila pamoja na viongozi wa dini Na Mzidalfa Zaid Mkuu wa Mkoa wa Manyara, Martin Shigela, leo amekutana na wazee wa kimila pamoja na viongozi wa dini mkoani…
17 September 2026, 11:36 am
Shirika la So They Can Tanzania (STC) linaendelea na Kambi ya matibabu ya siku sita katika maeneo mbalimbali ya wilaya ya Babati. Na Marino kawishe Wananchi wa Kata za Qash, Endakiso na Mamire wilayani Babati, mkoani Manyara, wametakiwa kujitokeza kwa…
COMPANY PROFILE
FM Manyara Radio was founded in 2018 located in Babati district, Manyara region. FM
Manyara 92.3 Radio we are committed to innovation to bring the best radio and broadcasting
services in the region and around the country.
Manyara 92.3 FM Radio is a radio station broadcasting a mixed format consisting of news,
sports, music and a variety of talk programs both being aired within 24 hours. It is strategically
located in Babati Town, Manyara –one of the fastest-growing towns in Tanzania.
The station commenced test transmission on 02nd of December 2018 and was granted a
district broadcasting license from Tanzania Communications Regulatory Authority (TCRA). Since
test transmission of the radio, the station has gained more support and acceptance from the
listeners around the district.
We provide and promote business through the following
Live programs that enable customer to air his/her products or services and get direct
feedback from our audience
Airing spot adverts.
Airing presenter mentions
Any other live public events as suggested by the customer
The commercial activities on the radio began officially in 2019 and through this short period of
commercializing the media we have succeeded in working with different organizations and
institutions both governmental and nongovernmental, This creates a sense of trustworthiness not
only to ourselves but also to our partners.
COVERAGE AREA
FM Manyara 92.3 Radio has an average radius of 120 kilometers, and the station has
planned to complete a geographical expansion programme that will extend the radio signal to
the entire Northern zone and parts of Central Tanzania which will mean approximate listeners
of well over 2 to 3 million. Also, FM Manyara 92.3 Radio will widen the listeners to other areas
that we have not reached in terms of frequency coverage and modulation and use online
platform and our station will be tuned wherever in the world. We expect to have listeners from
far Asia in countries like Japan and South Korea / and far West in the United States of America and
Canada.
VISION STATEMENT
The 92.3 FM Manyara Radio vision statement is ‘to be an industry leader with national and
International brand recognition builds around the cohesive team of passionate, creative and
inspired Individuals who love what they do, empowering our clients to reach their goals. Our
the team is innovative and forward-thinking while remaining conscious of the needs of today, and
being a financially strong, growth-oriented company enables us to provide stability for our most
valuable assets; our people and our clients.
MISSION STATEMENT
The 92.3 FM Manyara Radio mission statement is ‘To empower and inspire motivated business
and entrepreneurs to discover and fulfill their dreams and adventures’ In terms of
programming, FM Manyara 92.3 Radio is a public interest station –combining education,
information, news, and entertainment. The station’s focus is on the interplay of issues
concerning the community; its history and the social, cultural, and economic activities and
endeavors of the people. Apart from providing essential information, the station’s programmes
incorporate the ‘how to do’ approach providing guidance, and offering tips and hints to listeners on
different subjects.