10 April 2026, 6:07 pm

Manyara na siku ya mtoto anayeishi na kufanya kazi mtaani

Kuelekea maadhimisho ya siku ya kimataifa ya mtoto anayeishi na kufanya kazi mtaani , wananchi mkoani Manyara wametakiwa kutoa ushirikiano katika mapambano ya watoto waishio mtaani na kufanya kazi mtaani. Na Mzidalfa Zaid Wito huo umetolewa leo na afisa ustawi…

On air
Play internet radio

Recent posts

10 September 2026, 12:01 am

TRA Manyara kuwa mabalozi wa nishati safi ya kupikia

Wafanyakazi 23 wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Mkoa wa Manyara wamepatiwa elimu kuhusu matumizi ya nishati safi ya kupikia kwa kutumia umeme, ikiwa ni sehemu ya juhudi za Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) kuunga mkono Serikali katika kuhamasisha matumizi…

7 September 2026, 7:32 pm

Watatu wadakwa Manyara kwa kujiunganishia umeme kinyemela

Shirika la umeme Tanzania TANESCO mkoa wa Manyara kwa kushirikiana na jeshi la polisi limewakamata watu watatu wa kitongoji Cha Ndoroboni kijiji cha Kiru six kwa tuhuma za kuunganishiwa umeme kinyume na Sheria . Na Mzidalfa Zaid Afisa uhusiano TANESCO…

6 September 2026, 9:11 am

Walimu, wanafunzi Babati wapatiwa elimu ya nishati safi

Walimu na Wanafunzi wa Shule za Msingi na Sekondari za wilaya ya Babati wamepata elimu ya ya matunizi ya Nishati safi ya umeme kwenye Mapishi. Na Mzidalfa Zaid Elimu hiyo imetolewa na Afisa Uhusiano wa shirika la umeme Tanzania Tanesco…

4 September 2026, 6:14 pm

RC Shigela akabidhiwa ofisi, aanza majukumu Manyara

Mkuu wa Mkoa wa Manyara, Martine Shigela, amekabidhiwa rasmi ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Manyara kutoka kwa Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Queen Sendiga, ambaye awali alikuwa Mkuu wa Mkoa wa Manyara. Na Mzidalfa Zaid Akizungumza baada ya kukabidhiwa…

28 August 2026, 6:09 pm

Babati DC yazindua chanjo ya polio

Halmashauri ya Wilaya ya Babati mkoani Manyara imezindua rasmi zoezi la utoaji wa chanjo ya polio kwa watoto chini ya Miaka 10 zoezi balo limeanza jana katika maeneo mbalimbali ya halmashauri hiyo. Na Mzidalfa Zaid Kaimu Mkuu wa Wilaya ya…

28 August 2026, 4:25 pm

Babati mji yaongoza utoaji wa chanjo ya polio

Halmashauri ya mji wa Babati imefanikiwa kuwapa chanjo ya polio ya matone watoto zaidi ya elfu 21 kwa siku ya kwanza ya kampeni hiyo iliyoanza rasmi jana august 27 mwaka 2026. Na Marino Kawishe Akifungua rasmi zoezi la chanjo kwa…

26 August 2026, 6:46 pm

Kaimu DC Babati aonya upotoshaji kampeni ya chanjo ya polio

Kaimu Mkuu wa Wilaya ya Babati Remidius Mwema amewataka Viongozi wote waliohudhuria mafunzo ya Chanjo ya Polio itakayoanza kutolewa kesho alhamis August 27 hadi 30 mwaka huu 2026 kwenye halmashauri ya wilaya ya Babati kuzingatia elimu waliyopatiwa na kuacha kupotosha…

24 August 2026, 10:17 pm

IAA kampasi ya Babati yazindua programu mbili za shahada

Chuo cha Uhasibu Arusha (IAA) Kampasi ya Babati mkoani Manyara kimezindua programu mbili mpya za shahada ambazo zitaanza kutolewa katika kampasi hiyo kuanzia mwaka wa masomo 2026/2027. Na Mzidalfa Zaid Programu hizo ni Shahada ya Uhasibu na Teknolojia ya Habari…

24 August 2026, 7:27 pm

Watoto 128,000 kupata chanjo ya polio Babati DC

Zaidi ya watoto laki moja na Ishirini na 8 elfu wenye umri chini ya miaka kumi katika halmashauri ya wilaya ya Babati mkoani Manyara wanatarajiwa kupatiwa chanjo ya polio itakayotolewa kuanzia August 27 hadi 30 mwaka huu 2026. Na Marino…

22 August 2026, 11:17 pm

Mamia ya watu washiriki Manyara Tanzanite marathon

Mbio za Hisani za Manyara Tanzanite Marathon zimefanyika leo mkoani Manyara, zikihudhuriwa na watu mbalimbali kutoka maeneo tofauti ya nchi pamoja na viongozi mbalimbali, huku lengo kuu likiwa ni kuchangisha fedha kwa ajili ya kuokoa maisha ya watoto wachanga na…

About FM Manyara

COMPANY PROFILE
FM Manyara Radio was founded in 2018 located in Babati district, Manyara region. FM
Manyara 92.3 Radio we are committed to innovation to bring the best radio and broadcasting
services in the region and around the country.

Manyara 92.3 FM Radio is a radio station broadcasting a mixed format consisting of news,
sports, music and a variety of talk programs both being aired within 24 hours. It is strategically
located in Babati Town, Manyara –one of the fastest-growing towns in Tanzania.
The station commenced test transmission on 02nd of December 2018 and was granted a
district broadcasting license from Tanzania Communications Regulatory Authority (TCRA). Since
test transmission of the radio, the station has gained more support and acceptance from the
listeners around the district.

We provide and promote business through the following
ï‚· Live programs that enable customer to air his/her products or services and get direct
feedback from our audience
ï‚· Airing spot adverts.
ï‚· Airing presenter mentions
Any other live public events as suggested by the customer
The commercial activities on the radio began officially in 2019 and through this short period of
commercializing the media we have succeeded in working with different organizations and
institutions both governmental and nongovernmental, This creates a sense of trustworthiness not
only to ourselves but also to our partners.

COVERAGE AREA
FM Manyara 92.3 Radio has an average radius of 120 kilometers, and the station has
planned to complete a geographical expansion programme that will extend the radio signal to
the entire Northern zone and parts of Central Tanzania which will mean approximate listeners
of well over 2 to 3 million. Also, FM Manyara 92.3 Radio will widen the listeners to other areas
that we have not reached in terms of frequency coverage and modulation and use online
platform and our station will be tuned wherever in the world. We expect to have listeners from
far Asia in countries like Japan and South Korea / and far West in the United States of America and
Canada.

VISION STATEMENT
The 92.3 FM Manyara Radio vision statement is ‘to be an industry leader with national and
International brand recognition builds around the cohesive team of passionate, creative and
inspired Individuals who love what they do, empowering our clients to reach their goals. Our
the team is innovative and forward-thinking while remaining conscious of the needs of today, and
being a financially strong, growth-oriented company enables us to provide stability for our most
valuable assets; our people and our clients.

MISSION STATEMENT
The 92.3 FM Manyara Radio mission statement is ‘To empower and inspire motivated business
and entrepreneurs to discover and fulfill their dreams and adventures’ In terms of
programming, FM Manyara 92.3 Radio is a public interest station –combining education,
information, news, and entertainment. The station’s focus is on the interplay of issues
concerning the community; its history and the social, cultural, and economic activities and
endeavors of the people. Apart from providing essential information, the station’s programmes
incorporate the ‘how to do’ approach providing guidance, and offering tips and hints to listeners on
different subjects.