FM Manyara
FM Manyara
13 January 2026, 7:01 pm

Afya ni msingi wa maisha ya kila siku, na dawa ni sehemu muhimu katika kuhakikisha tunapona au kudhibiti magonjwa mbalimbali hivyo matumizi yasiyo sahihi ya dawa pamoja na uhifadhi usiofaa vinaweza kusababisha madhara makubwa badala ya tiba.
Karibu katika makala maalum ambayo tumekuandalia kuhusiana na matumizi sahihi ya dawa pamoja na uhifadhi wa dawa.
Na Mzidalfa Zaid
Makala hii imezungumza na baadhi ya wananchi mkoani Manyara,Meneja wa Mamlaka ya dawa na vifaa tiba (TMDA)kanda ya kaskazini pamoja na mfamasia kutoka halmashauri ya wilaya ya Babati .